Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
Molasesi ndo sukari guru eeehhh?
Hahahah ina bidi ujaribu zote kwa kuanzia na namba tatu pole pole unasogea Gongo namba 2 na hatimaye namba 1. Halafu asubu unashushia supu ya ngozi
Ngongo inapendezesha sana watu! unakeep figure hakuna magonjwa ya Moyo
Kama hupati supu! na usipofuata ushauri wa mama muuza
Mama muuza wangu yuko juu! hutoa ushauri na nasaha kwa wanywaji wake! Ukiwa mteja wa muda mrefu basi hata supu hulipi
Hata mimi mazishi huhudhuria, bila sha nitakuwepo