Gongo ipi Nzuri!

Utakapoungua hayo maini kwakudanganywa na mama muuza.......
Unadhani nini kitafuata....?

Mimi Gongo imenikubali sana siko mnene kabisa! Nikianza kunenepa nitajua safari imefika nitaacha kama si kupunguza kabisa kuepuka kifo.
 
Hahahhaah....basi nimekubali kushindwa!!!Naomba izidi kukupenda kama wewe unavyoipenda|!!
 
Jaribu na wewe hakika huhitaji kwenda GYM kujiweka fit! Gongo is a good therapy nakumbia
 
Ngoja nifikirie ushauri wako maana nahitaji kweli kuchoma mafuta!!
Mama muuza akikupa offer kwakumletea mteja mpya utanigawia lakini??:embarrassed:
 
HAhaah wala usikonde kabisa! Utaanza pole pole kwanza na namba tatu baadaye unakuja kwa grade one ile huitwa moto ama machozi ya Simba! Kwani una mafuta sehemu gani?
 
Hhahahah..kweli ntakoma!!!
Mhhh mafuta kila kona aisee......
Basi we utakua mentor wangu...lini sasa nije tuanze kazi?
 
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
vilima vya bugando ni bugarika huko inawezkana ikawa nzuri ni utaalam wakikurya nakinyamwezi ndio wakaziwahuko wengi labda kilakabila lilitoa matirio yake waka mix ikapatkana bonge la coctail ya gongo,tuliite rock gongo.
 
Kule Bugarika hata Polisi huwa hawatii timu!
 
Hhahahah..kweli ntakoma!!!
Mhhh mafuta kila kona aisee......
Basi we utakua mentor wangu...lini sasa nije tuanze kazi?

Nafasi yako tu! Nilifikiri mafuta ile sehemu nyingine hupendezesha sana wa dada! Umenisoma bila shaka
 
Hahhahahha...nadhani nimekusoma...sassa huko kote na zaidi!!!
Mi hata sasa hizi............

Unatamanisha aisee! Ngoja ni vute glass ya gongo hapa nipate steam. Unaujua ule wimbo wa BATA, wanasifu nyama yake hasa ile ya nyuma eti ina Mafuta na iko laini! mmmhhh Lizzy
 
Hhahahahah.....we mchungaji wewe.....unamezea mate kondoo wako mwenyewe???unatishaaaa!!
Alafu sijausikiliza....ntatafuta muda niusikilize!!
 
Haya mambo magumu! Mwili udhaifu ila nadhiri iko imara!

Hebu sikiliza hapa, nyama laini na ya nyuma ina mafuta, anapendeza zaidi eti ukimpakata

Last edited by a moderator:
Haya mambo magumu! Mwili uzaifu ila nadhiri iko imara!

Hebu sikiliza hapa, nyama laini na ya nyuma ina mafuta, anapendeza zaidi eti ukimpakata

Hahahahahhaa...kaaazi kweli kweli!!!Ila nimependa hapo kwenye bold.....
 
Wala jamani.:redfaces:...asante kwakunikumbusha....ngoja nikugongee!!!!

Mhhh nimeisikia THANKS hadi moyoni hahahahah! unaonaje ukigonga nyingi nyingi? By the way Utamu wa Gongo muulize hata Mh Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph Warioba ama Raisi wa zamani wa Zanzibar Alhaji Amani Karume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom