Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!