Gongo ipi Nzuri!

si hatari hiyo,
gongo ni mbaya sana jamani,yaani unakuta mtu kavimba tumbo na miguu na mashavu hapo figo zishafail.
kweli ibilisi anajua kuwatesa watu wa Mungu,halafu sasa wakinywa wanakunja sura halafu ikipita kooni unasikia jinsi anavyogugumia kwa maumivu.
Hivi mtu anakunywa ili alewe au aenjoy coz sielewei kinachosababisha mtu ateseke hivi.

Cheusi hivyo ndio vionjo vya gongo ni katika kuonyesha msisitizo tu. Huwezi kunywa gongo wakati una "smile" banah. Mimi sishangai kwani pilipili utamu wake ni nini? Ninavyojua pilipili ikiwasha sana dio imekolea vizuri.
 
Rev ina maana umezionja zote? vipi ya kwetu Iringa???

Nimeonja na kunywa aina nyingi za gongo Tanzania kwa kweli! Gongo la Iringa linatengenezwa kutokana na ile pombe ya Kiasili inayoitwa "Komoni" ikibaki hungeuzwa gongo. Ni ngongo nzuri maana ni nafaka za mahindi hutumika zaidi
 
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!

Mchungaji samahani kwanza kwa swali langu,hivi kama wewe ni mfanyabiashara wa gongo na akaja mtu na kukuibia gongo yako yote uliyonayo, utamshitaki wapi?
 
Mi gongo yangu ndefu na pana, inasifiwa sana na kina dada, wanadai ni bomba ile mbaya
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
 
Mchungaji samahani kwanza kwa swali langu,hivi kama wewe ni mfanyabiashara wa gongo na akaja mtu na kukuibia gongo yako yote uliyonayo, utamshitaki wapi?

Unatafuta njia za kumalizana naye! Hakuna Mashtaka hapo. Nikuulize na wewe mfano ukienda kuvunja gereza na kuiba ukishikwa utafungwa wapi?
 
nahisi mtumishi siku mvinyo ukiisha church kwako husiti kuwanywesha waumini wako gongo kama sakramenti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom