Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Umeonae makatazo mengine yanavyoji contradict!dogo alishiriki kwenye harusi ya mama yake na bado anaambiwa no sex before marriage
Maza aligongwa kabla hjaaolewa(mother had sex before marriage), na matokeo ya uzinzi huo ni yeye dogo kuzaliwa.
kabisa ila tunaambiwa no sex before marriage wakati wenyewe walikuwa tayari washakuleta duniani kabla hawajaoanaUmeonae makatazo mengine yanavyoji contradict!