KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
TUKUTANE OKTOBA HAPA HAPA...I'M OUT FOR NOW
Bao litakaloishia kwenye mabafu yapale Lumumba
Ile dans ya prez dar ilikuwa ni ya kuuridhisha umma na haikutoka moyoni.Kwa jinsi navyomjua father huwa anachekacheka kwenue kila jambo linalomuumiza na kuwa serious katika kila jambo linalomfurahisha.So kwa kujidensisha kwake kule kila mwenye kumjua keshajua kuwa sasa hivi yanagonga boxer.
Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii hata Nyerere afufuke.
Slaa na kundi lake hawataki mabadiliko ya lowassa,lipumba pia na kundi lake kubwa tu nao hawataki mabadiliko yasimamiwe na lowassa na genge lake ,ACT pia hawaungi mkono ukawa legelege ya mbowe,mtei na lowasa waliempachika,wameapa kumuadhibu mbowe kwenye sanduku la kura,ili baada ya uchaguzi wapate sababu ya kumng'oa madarakani,so ukichanganya kura za makundi yote hayo ya upinzani ambayo hayafurahishwi na ujio Wa lowassa ukawa ni bao la mkono tayariHao wote ni wanufaika wa mfumo nyonyaji wa CCM.....
Sisi wanyonge tunataka MABADILIKO....
DAIMA KILIO CHA WENGI NI KILIO CHA MUNGU....
Ushindi ni watu sio kujaza watu Wa kuimba nyimbo na mapambio humu mitandaoni wakati mambo hayajakaa sawa ukawa,viongozi wakuu wanajiudhuru hovyo muda huu kuelekea uchaguzi,mnaenda kwenye uchaguzi mkiwa dhaifu sana kiuhalisia,mnawategemea team lowassa eti ambao ni mabingwa Wa siasa za mitandaoni,ccm wenzenu wanawachora tu mnavyovurugana,they r happy now ndio mana wanatangaza ushindi mapemakweli kabisa mkuu kikwete anamfariji tu magufuli ila anajua hawezi shinda.
Hata makende na siasa ni kifo na usingizi mkuu,fuatilia utaonaKim Kadarshian na siasa wap na wap
Hata makende na siasa ni kifo na usingizi mkuu,fuatilia utaona
unajua aliyesema "bao la mkono" inawezekana alikumbuka mbali sana hadi akataja hilo neno. wengi wetu tukiwa secondary school boarding, tulikuwa tunajua bao la mkono ni kupiga puli, sasa mtu mzima anapokuja kusema atapiga bao la mkono unamueleweje sasa?...Bao litakaloishia kwenye mabafu yapale Lumumba