Goli la mkono

Goli la mkono

unajua aliyesema "bao la mkono" inawezekana alikumbuka mbali sana hadi akataja hilo neno. wengi wetu tukiwa secondary school boarding, tulikuwa tunajua bao la mkono ni kupiga puli, sasa mtu mzima anapokuja kusema atapiga bao la mkono unamueleweje sasa?...

Mwenye picha ya Nape akiwa na P.O.P mkononi tafadhali huyu kijana inaonekana ndio michezo yake..
 
Mgombea urais tayari ana rangi ya maiti! Duh!
 
Hao wenye kijani ni wa kuletwa kwa malori maana unapewa kofia na khanga kisha unapanda lori
Hao waliovaa kiraia ndio wameenda kwa hiari yao kumshangaa kufuli

Walogawiwa matishet sku ya mkutano mkuu hujawaona mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom