Goli la kwanza linatakiwa kufungwa dakika ya ngapi?

Sisi Wazee Wa Kubeti Tunakuambia Goli La Kwanza Lifungwe Baada Ya Dk 28 Au 28+
 
Kuna kitu kigeni kidogo kimenitokea jana ambacho kimenifanya niwaze sana ambacho sijakizoea kabla.
Ni kwamba kuna mtoto mkale sana nilimpata mwezi uliopita. Sasa akawa anazungusha zungusha, ikabidi nianze kujisifu kuwa mimi napiga show hatari, yaani kwa kifupi nafanya kama kazi niliyosomea ambayo ni mjuvi hasa.

Sasa jana kaja uwanja wa nyumbani kwenye mechi ya kirafiki. Maandalizi yakaanza pande zote kwa ajili ya kuingia uwanjani (kumbuka ni mtoto mzuri haswaaa!). Sasa kitu cha kushangaza nikajikuta nimefunga goli kabla ya filimbi ya mchezo kuanza, kwa bahati nzuri hakugundua.
Nikajifanya naenda kufunga vizuri mlango kumbe naenda kuweka mambo sawa, nikarudi ili mechi ianze.
Lakini cha ajabu tena awamu hii hazikuzidi dakika 7 matokeo yakawa hivi (Home 1 - 0 Away) na mchezo ukaishia palepale. Kumbuka hapo nina goli lingine kibindoni ambalo mabeki walijichanganya nikajifunga mwenyewe. Dogo alilaumu sana kwamba ulikuwa unajisifu kumbe sufuriii!

Sasa usiku wa manane nimekipiga kipute cha kufa mtu, haikuishia hapo, asubuhi ya leo wakati kunakucha nimecheza mchezo wa hatari, hivi ninavyoongea nimeshapokea simu moja kutoka kwa rafiki yake kwamba Maiko unaoneka mpole kumbe una mambo wewe! (Tayari anaomba mechi kiaina)
Yeye mwenyewe ananipigia hapa simu anasema ile shughuli hajawahi kuiona. Yaani anapolala anafanya kuanguka kama mbwa mzee, anasema misuli imemkaza mthili ya mtu aliyekaa muda mrefu bila kufanya mazoezi.
Sasa je, kwa mtu mwenye afya njema kabisa inabidi goli la kwanza lianzie dakika ya ngapi? Watu wa kubet huwa wanaita "First goal interval"

Mimi najifurahisha mwenyewe any time nafunga goli tena magoli ya haraka haraka ndo nayapenda. Nishajua wanawake hawa hawaridhiki hata ufunge goli extra time.

Shida ya nini kutafuta goli kwa mbinde bao haliji unachoka hadi unataka kulia, ila uzuri wa bao la kuhangaikia muda mwingi ni tamu sana na utalishangilia hatari.
 
Hii inatokana na ntu na ntu...
Kuna ntu mwingine sec ya 12 tu ya mchezo kamaliza
 
Kuna kitu kigeni kidogo kimenitokea jana ambacho kimenifanya niwaze sana ambacho sijakizoea kabla.
Ni kwamba kuna mtoto mkale sana nilimpata mwezi uliopita. Sasa akawa anazungusha zungusha, ikabidi nianze kujisifu kuwa mimi napiga show hatari, yaani kwa kifupi nafanya kama kazi niliyosomea ambayo ni mjuvi hasa.

Sasa jana kaja uwanja wa nyumbani kwenye mechi ya kirafiki. Maandalizi yakaanza pande zote kwa ajili ya kuingia uwanjani (kumbuka ni mtoto mzuri haswaaa!). Sasa kitu cha kushangaza nikajikuta nimefunga goli kabla ya filimbi ya mchezo kuanza, kwa bahati nzuri hakugundua.
Nikajifanya naenda kufunga vizuri mlango kumbe naenda kuweka mambo sawa, nikarudi ili mechi ianze.
Lakini cha ajabu tena awamu hii hazikuzidi dakika 7 matokeo yakawa hivi (Home 1 - 0 Away) na mchezo ukaishia palepale. Kumbuka hapo nina goli lingine kibindoni ambalo mabeki walijichanganya nikajifunga mwenyewe. Dogo alilaumu sana kwamba ulikuwa unajisifu kumbe sufuriii!

Sasa usiku wa manane nimekipiga kipute cha kufa mtu, haikuishia hapo, asubuhi ya leo wakati kunakucha nimecheza mchezo wa hatari, hivi ninavyoongea nimeshapokea simu moja kutoka kwa rafiki yake kwamba Maiko unaoneka mpole kumbe una mambo wewe! (Tayari anaomba mechi kiaina)
Yeye mwenyewe ananipigia hapa simu anasema ile shughuli hajawahi kuiona. Yaani anapolala anafanya kuanguka kama mbwa mzee, anasema misuli imemkaza mthili ya mtu aliyekaa muda mrefu bila kufanya mazoezi.
Sasa je, kwa mtu mwenye afya njema kabisa inabidi goli la kwanza lianzie dakika ya ngapi? Watu wa kubet huwa wanaita "First goal interval"
Umelipia Tangazo??
 
Lipia tangazo
 
Nyie wooote MADRID si bure mnaongelea magoli tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom