Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,358
- 16,425
Hivi punde tu tutatakuwa naye jangwani huyu, aliniahidi kuhamia jangwani ikiwa Wananchi tutabeba NBC PL 2022/2023.
Cc Kalpana Pisi Kali...[emoji28]
Hivi punde tu tutatakuwa naye jangwani huyu, aliniahidi kuhamia jangwani ikiwa Wananchi tutabeba NBC PL 2022/2023.
Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.Ijumaa ndo mwisho wa maneno haya. Jumapili yataanza mapya na mtajuta
Hakuna wa kuzoeleka hapa..!! UTALALA NA VIATUTumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.