Golgen Mpoleee back with a bang!

Golgen Mpoleee back with a bang!

Hahahaha, na huyu ndie Golden Mpoleeee. Simameni wote.
Wanawake pigeni vigelegele, wanaume pigeni makofi.
Nikisema karibu, mnajibu Mpoleeee. :high5::rockon::high5:

.
Mpoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeee

Karibu mpoleeeeeeeeeeeeeee ILA angalia nenda taratibu
usije tena ukaanza kucheza na BAN kama wakati uliopita

.
 
haka katoto kama kanayoandika hapa kako hivyohivyo kiukweli katakuwa katukutu sana!hebu fikiria katoto ka-secondary kamembananisha zee lililokubuhu kama nyani ngabu mpaka nyani katoka nduki!smiling saint naye kajaribu wapi!nitonye kama anataka vile lakini sweetlady anamvuta kamba kama marafiki wa airtel,erick kaingia na bagah atakuja bila shaka!kanatisha sana haka kabinti!
 
Iaelekea kanajua kuvuruga shuka eeh
 
Well come back our lovely sisy,
Tulikumiss sana,pole na ugumu wa shule,
Familia imekumiss sana,
Karibu tena nyumban!!
 
Hahah Golden Mpoleeeeeee

kweli umerudi likizo inaisha lini?:biggrin:
 
wee mtoto nyumba ya wakubwa hutakiwi, angalia usije ukabeba aibu ya mwanaasha, au ndo wewe? manake umesema wewe mtoto wa mkubwa.
 
Golden Mpolee... Sikutegemea kibatasamu saizi, a genuine smile from heart.. Karibu saana. Tulikumiss hakuna mfano. Nafurahi kua waendelea na masomo na inaonekana umekazana kweli kweli... Kazana my crazy niece maana nakumbuka ahadi yako ya kutaka kuja kua Doctor wa familia. Do take care and study loads and loads....

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
Iaelekea kanajua kuvuruga shuka eeh

haka ka g-mpoleee katakuwa kanatoboa kabisa shuka!kalifundishwa game na kaka yake ambaye sasa ni marehemu!wakati huo kalikuwa kana miaka 13 miezi 8 siku 21 na masaa 12 toka kazaliwe!
 
Back
Top Bottom