Golgen Mpoleee back with a bang!

Golgen Mpoleee back with a bang!

duu kwa hiyo machale tu yamekucheza eeh?
 
Ziada: nahitaj out ya nguvu! Sikaonja zaidi ya jinsia yangu miez mi 3! Yaaaan Ukameeeeee[/QUOTE said:
ka! we katoto ndio umeandika nini hapa!!??
 
Ziada: nahitaj out ya nguvu! Sikaonja zaidi ya jinsia yangu miez mi 3! Yaaaan Ukameeeeee
Hahahaha, na huyu ndie Golden Mpoleeee. Simameni wote.
Wanawake pigeni vigelegele, wanaume pigeni makofi.
Nikisema karibu, mnajibu Mpoleeee. :high5::rockon::high5:
 
Hahahaha, na huyu ndie Golden Mpoleeee. Simameni wote.
Wanawake pigeni vigelegele, wanaume pigeni makofi.
Nikisema karibu, mnajibu Mpoleeee. :high5::rockon::high5:
Hahahaaaaaaa
Mpoleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mie nampenda sana mpole...
Watu wanamraruaga lakini she keeps her cool... Na akiamua kukupa moja tu linakutosha
 
hajapata taarifa tu
sasa hivi anatia timu.
Anti anaweza asije leo, kuna kitu muhimu anafanya.
But naskia pafyum ya Mrs and Mr Judgement,
Sweetlady na Cantalisia, wote with their respective Mr.
Mi mwenyewe niko hapa, head of welcoming protocol.
 
Hivi na babu ODM anaruhusiwa kuja hapa?

Hakawii kumwita mjukuu wakagonganishe chiazi.

Nikisoma mstari wa mwisho wa GM,
nadhani Babu ODM atasaidia hapo. ngoja tumtafute.
 
welcom back again GM mbona umekonda sana kuanzia post mpaka comment...
 
sijui kamepotelea wapi haka katoto!!
 
Back
Top Bottom