Golgen Mpoleee back with a bang!

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
572
206
kama ilivo ada na ID zangu tatu (G Mpoleee + Mpoleeee niliyomeza kipisi chenye pw) nimekuja kuwasalm wan jf. Shule ngumu jamani ila nimepata livu ya easta. Taratibu mtoto mpole na mrembo mm nikachek jf kama mgen. Surprise nzuri ikanivamia! Watu wamemmsiss mpoleeee, members wanamlilia mpoleeee celebrity wa jf. Nikaona aku mm ctak dhamb na kwa rezma hii wacha niingie niwasalim membaz niwaambie na ukweli jins gani nawakosa. Nawasalim nikiwa na arufu ya chemia na physics ikinitapakaa. Nimewamiss wote hasa wanafamilia wangu ikiongozwa na ankal na auntie, nimemmiss mod wa chitchat cookie, nimemmiss hot mod lkn wote sijawamiss kama MTM. Nimewa miss miss miss miss. Mwaaaaa

Golden Mpoleeee mzuri na mpole.

Ziada: nahitaj out ya nguvu! Sikaonja zaidi ya jinsia yangu miez mi 3! Yaaaan Ukameeeeee
 
Mithi yu mpoleeeeeeeeeeeee....... habari ya shule mdogo wetu?
 
Back
Top Bottom