Hizi pills zikifika Bongo itakuwa safiYou can buy "Gold Poop Pills" for $200
When consumed, they will turn your poop sparkly,golden and smell good
Sure Bongo sijui kama zitapata soko sana, Wajapani ndio waanzilishiMkuu.@Boflo watakao nunuwa ni matajiri sio masikini bora zingelikuwa ni za rangi ya fedha kuliko hiyo rangi ya dhahabu zitakuwa ni ghali sana hata zikifika bongo unasemaje?
Acha ushamba ww ...Hakuna dawa hizo hapa japan uzushi! Labda sehemu nyingine.
Jaribu kuwa mstaarabu sio vyema kutumia lugha za kihuni! Sina sababu ya kutumia lugha chafu Kama wewe japokuwa naweza, it's seems you believe everything you read! That's sad, I do live here and am telling you there's no such a thing, it's up to you to believe or not.
Kikishakuwa kinanukia au cha dhahabu ili iweje.....arent' going to flush?