Gold na Mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gold na Mafuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Mar 8, 2008.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2008
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi nina mawazo kuhusu Gold na mafuta ya Tanzania. Kwa kweli inawezekana kabisa watanzania wasifaidike na mafuta na gold hivyo mini nina mapendekezo tofauti.
  Kuna vitu viwili tofauti ambavyo Tanzania itapata kutokana na gold na mafuta
  1. Royalties ya 3%
  2. Tax ya 25%
  Kuhusu gold : Tanzania wanatakiwa wachukue royaltieskwenye gold na siyo kwenye pesa. Hii itasaidia kwanza kuongeza reserve yetu ya gold kwenye world bank. Vilevile gold inapanda thamani hivyo ihizi gold zitapanda value, watanzania watajisikia wana miliki kitu na siyo pesa tu ambazo watu wengi hawaoni faida yake, na la mwisho kwa mawazo yangu itasaidia kukuza thamani ya pesa yetu. Canada inafaidika sana na pesa yake inapanda thamani kwasababu ya gold na mafuta mbayo na sisi tunayo. Tax huwezi kuchagua ulipwe vipi na hiyo pesa wachukue cash.
  Kuhusu mafuta: Tanzania inatakiwa ijenge kituo kikubwa cha kusafisha mafuta. Hii itahitaji pesa nyingi sana kwani kituo kikubwa cha kisasa kinagharimu $1 Billion. Royalities ya 3% iwe kwenye mafuta na hayo mafuta yatumike kupunguza gharama ya mafuta yetu nchini. Watanzania watafaidika zaidi kwa bei nafuu kuliko kwa pesa kwani nchi yetu ikiwa na bei za chini za mafuta uchumi utakuwa sana. Tax wachukue na kufanyia maendeleo.
  Ili watu wengi waone manufaa ya mafuta na gold serikali inabidi iwe specific kuhusu mipango na matumizi ya pesa mfano wanaweza kusema pesa za gold zitasaidia shule na pesa za mafuta zitasaidia barabara, mapato megine yatakuwa ya afya na matumizi ya wafanyakazi wa serikali.
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..wakati wewe ukiwaza hayo,wenzako wanasubiri nyama iive waiopoe wakaile peke yao!

  ..mind you,wao wako jikoni zaidi na ikiiva harufu wanaipata kwa haraka zaidi!

  ..ukijashtuka,chungu ki-kitupu! labda utapata/tutapata mchuzi kidogo tu!
   
 3. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kuweka straight tax quote ya 25% itafukuza investors badala ya kuwavuta. I know dawa ya hizi kampuni ni kuzitax intensive, tatizo ni mmoja, investors nao wanaspend more money kwenye fixed asset zao.

  I think dawa ni kuwa na progressive tax, the more profit they earn the more tax they will pay. Kingine sijui accounting system ya Tanzania, lakini kama accounting system inafanana na GAAP then inabidi tuwe na smart auditors.

  Refinery system zinacost fedha nyingi, nchi kama US wana refirenery za tangu 50's sababu ni gharama. Kama tukiwa na system inayoeleweka tunaweza kuwa condition wawekezaji mmoja ya advantage kuwekeza na sisi tutawapa tax cut ya asilimia fulani kama mtajenga refinery hapa kwetu. Baada ya muda fulani ile tax cut ina expire na serikali inakuwa mmili.ki wa refinery
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mbele ya JPM Utukufu upo njiani.
   
Loading...