Mimi nina mawazo kuhusu Gold na mafuta ya Tanzania. Kwa kweli inawezekana kabisa watanzania wasifaidike na mafuta na gold hivyo mini nina mapendekezo tofauti.
Kuna vitu viwili tofauti ambavyo Tanzania itapata kutokana na gold na mafuta
1. Royalties ya 3%
2. Tax ya 25%
Kuhusu gold : Tanzania wanatakiwa wachukue royaltieskwenye gold na siyo kwenye pesa. Hii itasaidia kwanza kuongeza reserve yetu ya gold kwenye world bank. Vilevile gold inapanda thamani hivyo ihizi gold zitapanda value, watanzania watajisikia wana miliki kitu na siyo pesa tu ambazo watu wengi hawaoni faida yake, na la mwisho kwa mawazo yangu itasaidia kukuza thamani ya pesa yetu. Canada inafaidika sana na pesa yake inapanda thamani kwasababu ya gold na mafuta mbayo na sisi tunayo. Tax huwezi kuchagua ulipwe vipi na hiyo pesa wachukue cash.
Kuhusu mafuta: Tanzania inatakiwa ijenge kituo kikubwa cha kusafisha mafuta. Hii itahitaji pesa nyingi sana kwani kituo kikubwa cha kisasa kinagharimu $1 Billion. Royalities ya 3% iwe kwenye mafuta na hayo mafuta yatumike kupunguza gharama ya mafuta yetu nchini. Watanzania watafaidika zaidi kwa bei nafuu kuliko kwa pesa kwani nchi yetu ikiwa na bei za chini za mafuta uchumi utakuwa sana. Tax wachukue na kufanyia maendeleo.
Ili watu wengi waone manufaa ya mafuta na gold serikali inabidi iwe specific kuhusu mipango na matumizi ya pesa mfano wanaweza kusema pesa za gold zitasaidia shule na pesa za mafuta zitasaidia barabara, mapato megine yatakuwa ya afya na matumizi ya wafanyakazi wa serikali.