Gold Digging? ? Wanamme ni Kiboko . . .

kutia mimba ni starehe na sio majukumu and thus why mimba nyingine zinakuwa out of plan ya hao wanaojistarehesha. cha ajabu sana ni baadhi yetu sisi wanaume kukataa kulea watoto waliotokana na starehe zetu

kweli jamani wakaka acheni hii tabia,watt wa mtaani wanaongezeka utafikiri hawana wazazi
 
mi ningemsamehe ila senti tano yangu asingeiona,ningempelekea mama angi aliyenihangaikia, nyambaaaaaaf
 
Reactions: BAK
Huyo baba wa dillish mie sitamlaumu ukizingatia alienda huko kikazi na walipelekwa na serikali baada ya kurudi akendelea kutumikia taifa na baadae akapoteza mawasiliano na mzazi mwenzie. je angefanyeje na kazi ameshastaafu kazi ukizingatia nchi za watu zimejaa vita. Nahisi hawakuachana vibaya na mama yake dillish ndo maana alimwambia kuwa baba yako ana asili ya somalia. La sivyo angemficha jumla.
 
Ingawa wapo wa aina hiyo, lakini si sawa ku-generalise. Sometimes one night stands, nyumba ndogo, and other forms of 'kuibia' plus wakati things just doesn't work out, hapa wote wawili (baba na mama) wanahusika.

Sawa pamoja na hayo yote, bado mtt anastahili kulelewa/kutuzwa +mahitaji jamani
 
Binadamu tuko tofauti, hata makosa ya mahusiano kwa mfano ndani ya ndoa baadhi ya waliomo katika mahusiano hayo wengine (wake kwa waume) husamehe na kuamua kusonga mbele na mahusiano yao na wengine husema hili siwezi kusamehe hata chembe.

May be I am missing something.

Kwani ni lazima mzazi wa namna hiyo akutafute kwa ajili ya kutaka misaada kutoka kwako?

Na suala la kuwasamehe waliotukosea tunaliongeleaje?

Babu DC!!
 
mi pia ningemsamehe ila hatokula hata sh tano yangu. lol

kwani alitaka pesa yake?....na yeye alikwenda kule kama mwanajeshi,,, mamake kajishauwa kaliwa na kibendi juu....alijitokeza coz damu inamuita.......pesa ni yake na itabaki kuwa yake.....baba kitu ingine wewe...
 

naelewa unajiskiaje kwasasa ila naomba nikusihi sikiliza zaid moyo wako kuliko kitu kingine,binafsi niliskiliza moyo na nilifanikiwa kukutana na baba yangu mwezi uliopita nilifurah sana kumwona na yeye alifurah zaid kuniona ingawa alijua sitomsamehe ila nilimwambia wazi sina kinyongo nae milele na nilitaka tu kuwa na uhakika kwamba yupo and now am free kutoka kwenye ile hali ya sintofahamu.
 

kwahiyo mliweza kupelekana nyumbani kukutambulisha kwa ndugu zako wengine au mlitafutana nyie wawili tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…