kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
waweza msamehe akakutwisha majukumu mpaka ujute kumfahamu. haya mambo we acha tu, yanaumiza kweli kweli. pole my dear ila tu jitahidi kuretain furaha yako kwa gharama yoyote.
Lia, kinyongo huisha. Na kama una ya kumwambia, mwambie yote ili hilo donge liishe. Vinginevyo huwezi kusamehe kama una donge kifuani.
mhhh, kuna walakini!
kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
mie naona kama wengi wao wanaotutafuta kwasasa wameshakuwa wastaafu na pesa zao walizimalizia kwenye starehe za maisha hawana mbele wala nyuma sasa wanatafuta pa kushika, huyu mzee wangu anatafuta pa kushika tu!
samehe ila kaa nae mbalimie naona kama wengi wao wanaotutafuta kwasasa wameshakuwa wastaafu na pesa zao walizimalizia kwenye starehe za maisha hawana mbele wala nyuma sasa wanatafuta pa kushika, huyu mzee wangu anatafuta pa kushika tu!
Mwisho wa siku, kusamehe ni karama!
tukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.
....please forgive him na umpokee with all your hert, kosa lake si kosa lako, he did it to you dont do it to him. its not all about money there is something more. anyway let say anakuja kwaajili ya hela, ni kiasi gani atakacho tumia kwa umri huu..? na kama hujatumia na yeye wengine watazitumia tu. mpe nafasi, he is your FATHER...
mmmhhh dada umeongea maneno makali sana daah basi hata kama hutamsamehe ila hiki unachokiandika hapa kumbuka ni kumbukumbu, na kama yule ni mzazi wako laana ni rahisi kukupata hata iweje na akikubariki hata kama hajakulea utabarikiwa maana amepewa mamlaka na mungu akubariki. Nahisi nikwambie mengi ila kuliko kama hutamsaheme basi usiendelee kutia au kuweka neno na kiasi cha kusema anatafuta pa kushikia baada ya kuzeeka mmmh!! Thank God mie sikupitia huko ila I feel PITY about your parent the way anaji feel now, na wewe huna mkataba na mungu huwezi jua watoto wako watakutendeaje hata kama utawalea kwa mapenzi yote. Najua waweza jipa matumaini na kunipa jibu lolote ila hasira yako iwe juu ya maendeleo na si juu ya viumbe walioumbwa na mungu hiyo muachie mungu ata deal nae wewe fanya wajibu wa kumtunza na kumlea. Kama wewe ni mkristo tumefundishwa kusamehe saba mara sabini tena usahau kisha muoneshe upendo walahi utakuwa unamliza huyo baba yako hadi siku anaingia kaburini. Maana ataendelea kujuta hadi anakufa nawe utakuwa mweupe ila kama unamgwaya sasa kwa kurefer historia ya nyuma siku akifa utaenda weka shada kwenye kaburi lake kama mtoto wa marehemu au hutafika hata kumzika? Jiulize mambo mengi jua duniani humu hauishi peke yako mambo mengine hayana budi kuja ili ujifunze sio na wewe ulipize kwa ubaya. Ulitendewa ubaya sawa lipiza wema hili litakuwa somo kwa walioshuhudia mlivyoishi kwa shida na sasa mna neema kumzidi aliyewanyanyasa.
Natamani upate ninachomaanisha moyoni mwangu ila kama unaweza bora usiendelee kukashifu baba yako mzazi hata kama hakuna anayemjua humu, ni damu yako yule, bila yeye usingekuwepo leoi kupost hapa jf fikiria mbele zaidi.
....please forgive him na umpokee with all your hert, kosa lake si kosa lako, he did it to you dont do it to him. its not all about money there is something more. anyway let say anakuja kwaajili ya hela, ni kiasi gani atakacho tumia kwa umri huu..? na kama hujatumia na yeye wengine watazitumia tu. mpe nafasi, he is your FATHER...
Hivi hapo blue ni unaamua tu, au ni kitu kinakuja nachurale? Hivi unauamuru moyo kusamehe?
cc Nyamayao
samehe ila kaa nae mbali
wengi wanaowakataa baba zao kgezo kikubwa ni "pesa/shiling/money" utawaskia ooh! kaona nimepata ndo anataka nimsaidie. Kama tu wangetambua na kuelewa kwamba Mali, pesa ama chochote tulizaliwa tukavikuta, tutakufa tutaviacha nadhani wasngeshkilia msmamo huo. Natambua na najua wanavojiskia kwa wazaz wao hao lakin kama yeye alkosea na wewe ukosee? Jaman "jino kwa jino, litaiacha dunia kibogoyo"
Karibu anytime we'll talk ni kweli tumekulia makuzi na malezi tofauti ila mzazi ni mzazi hata akiwa mchawi ni wako kukanwa na mtu wa damu yako inauma sana asikwambie mtu mie sijawahi kanwa wala sijawhi kana mtu ila huwa napata huzuni na kuhisi au ku-feel ule uchungu anaoupata mtu anayekuwa rejected aidha na mzazi au mtoto hasa pale anapohitaji msaada kutoka kwa anayem-reject.kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
hivi kumbe nimesema maneno makali sana? haya nisamehe, lakini labda hujui nikikumbuka ya nyuma najisikiaje, yap mie katoliki wa nguvu, mengine wacha niyaache kama yalivyo kwa sasa, mhh nadhani nikipata muda nitakufata PM hapa sitaeza kukuambia ninachotaka kusema kutokana na comment yako, nikipata tu nafasi ntakuchungulia, thanx sana.