Gold-crest mwanza...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
niko hapa 8th floor...kumehapen mbaya...baadae vila park resort!...mwanza oyeeeee!...
 
Usikose kutembelea malaika beach resort,inaelekea we ni mgeni hapa kwenye jiji la ukweli..THE ROCK CITY!
 
na mimi nimsikia kwamba hii kitu ni balaa vipi kiingilio kimeshashuka

hapa hamna kiingilio...so far nimetumia miguu yangu tu...nahisi kijasho kitakuja kwenye bei za vinywaji...e bana kuna TOTOZI...chickenspring aseee!..
 
Usikose kutembelea malaika beach resort,inaelekea we ni mgeni hapa kwenye jiji la ukweli..THE ROCK CITY!

ni mgeni mbaaya yani...umelenga!...malaika nimeenda...ni baraaa !...nimefika na HOTEL TILAPIA
nina siku moja lakini nimekanyaga mzee
 
Njoo La Kairo hapa unywe na wastaarabu. Ila Kama una hela za mawazo usije.
 
daaah ugonjwa wangu mi watoto, daaah nifanyie namba ya mtoto hata mmoja tu
 
daaah ugonjwa wangu mi watoto, daaah nifanyie namba ya mtoto hata mmoja tu

asee hapa totozi za kumwaGa...zaidi ya kona bar dar...kitu available yani...ngoja nitakurushia moja!..
 
Njoo La Kairo hapa unywe na wastaarabu. Ila Kama una hela za mawazo usije.

hela ipo ww...unazani nimekuja mwanza kuuza 0 ama??...sema su nije hapo!..utakunywa hadi utambae...e bana la kairo sijui kama ntaweza mana ziara ya rais ni ndefu kwa kweli...
 
Mh. Una maana uko Mwz ?
Una maana umepoteza mie niko hapa ?
Unakujaje kimyakimya ?

braza nimetangaza mpaka kwenye magezeti ya udaku...ina mana hukuona?...nipo mwanza....nang'oka kesho mchana kama vp asubuhi ibuka sijui panaitwaje hapa...kona ya bwiru sijui...
 
Back
Top Bottom