Gogle si kila mtu anambegu za mapacha!
...
Cha kukusaidia, mimi binafsi ni pacha, so nnazo mbegu pacha, chakufanya uniletee mamaa nikuekee mbegu za mapacha humo then utaendelea nae mwenyewe!
ni ile ya kusukuma wheelbarow ya zege,na ukimkuja kama kuna watu wanapiga chabo wanaweza fikiri huyo mwanamke ni mlemavu kumbe ni huo mkunjo.mimi ninao mapacha.ila asipokua mvumilivu lazima anye.
Salamaleko
Ni yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,
Wadau nimechoshwa na upweke nataka nimpe mimba mwanamke anizalie watoto mapacha, naomba mwenye kujua jinsi ya kumpa mimba mwanamke ili azae mapacha anifahamishe.
Naomba kuwakilisha.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Sasa hapo mapacha watakuwa wako au wangu?
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Mmmh! nimejaribu mpaka basi kila nikitotoa Wakiume mpaka nimesema sasa basi ndoto yangu wakike tena Pacha,Tufanye mchakato basi tuwapate
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Mmmh! nimejaribu mpaka basi kila nikitotoa Wakiume mpaka nimesema sasa basi ndoto yangu wakike tena Pacha,
sasa sijui chakufanya nimemuachia mungu,na dadangu yeye wakike watupu,na kama unavyojua wakiume wananyonya kupita maelezo....
Umeona eeh! hawana subra sasa uwe umesafiri sikuzote chupa ananyonya sikuiyo atakuchagiza chupa haitaki,ukuangalia umekaa na mijidume ukilitoa ziwa mtoto akinza kunyonya ile sauti yake na kiu alichonacho lazima watu wacheke....Aiseee hapo kwenye kunyonywaa sipendii watoto wanatekenyaa hao halaf wana makusudii bora baba zao wanavyonyonyaa,sipendi kunyonywa na mtoto basi tu
Hongera kwa kupata mapacha, .... Mimi niliona kipindi kwenye TV wanazungumzia jinsi ya kupata mapacha, ila walikuwa wanaongea kwa kiinglish, mie hii lugha ya kigeni siielewi vizuri lakini nilidhani kuna style ya kugegeda ambayo inaleta mapacha.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Tangia umetahiriwa ukubwani imekuwa nongwa maana twaambiwa saa zote :A S confused:...Unataka watoto mapacha tafuta mwanamke aliyekuwa na gene za mapacha yaani aidha yeye ni pacha au kuna mapacha kwenye familia yake sawa Gogle uliyetahiriwa ukubwani!!