Gogle nataka watoto mapacha


Una uhakika hujui jinsi ya kumpa mimba mwanamke???
 
Mi nadhani hiyo njia ya kumpa mimba kawaida unaidabodisha, it will double watoto pia
gogle hivi si uliaga hautarudi tena hapa jf nasie tukakutakia kila laheri uendako
umerudi afu kimya kimya tu hutoi mrejesho.....
 
mhhh...jaman mwanaume hana uwezo wa kusababisha mapacha kwani mbegu inayotumika kurutuisha yai ni moja tu..ingawaje yeye anatoa mbegu nyingi kwa mara moja.mapacha wanatokea kutokana na jinsi yai la mwanamke lilivyo pevushwa.kama atakuwa amepevusha mayai yote mawili kwa wakati mmoja mapacha wasiofanana..kama yai moja limejipevusha mara mbili au limegawanyika mapacha wakufanana...sasa mwanaume kazi yake ni kutoa mbegu tu tena moja...mtazamo tuu...labda ma docta watuelekeze...
 
mapacha hawana formula wala kitaalam sidhano kama itawezekana..ni bahati tu gogle au kurithi.mimi nilikua namwomba Mungu usiku na mchana aje kunipa mapacha kwani bibi yangu mzaa mama alikua na pacha 3 mama wadogo 4 na wajomba 2.hakuna aliefanikiwa kumrithi kuzaa pacha kwa watoto wake woote..hata wajukuu..basi bahati hiyo ndo ikanodondokea wala manesi hawakuniambia mpaka nimefika miez saba ndip naambiwa nina mapacha me na ke.baada ya ultrasound..ni bahati kwakweli wala sikupanga imetokea tu..na unaweza kuzaa na pacha wala usizae pacha...
 

Hongera kwa kupata mapacha, .... Mimi niliona kipindi kwenye TV wanazungumzia jinsi ya kupata mapacha, ila walikuwa wanaongea kwa kiinglish, mie hii lugha ya kigeni siielewi vizuri lakini nilidhani kuna style ya kugegeda ambayo inaleta mapacha.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Gogle karibu bwna, maana kwa kuomba ushauri haujambo ndg yngu sijui kesho utaomba ushauri gani ili tujitayarishe.
 
nenda kwanza JKT mgulani kule, ama JWTZ, wana mafunzo maalum ya jinsi ya kutatua tatizo lako...

ni miezi sita tu hapo.. ukitoka unakuwa expert wa hayo makitu bila kuwaza..

km unapenda Gogle, nianze kukusaidia kufanya application fasta kabla halijazama jua!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na style ya kugegeda.wheelbarow style itakupa mapacha hadi wanne.
 
Inategemea na style ya kugegeda.wheelbarow style itakupa mapacha hadi wanne.

Wheelbarrow ni ipi hiyo Mkuu? Tupe elimu tafadhali



Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Mi nadhani hiyo njia ya kumpa mimba kawaida unaidabodisha, it will double watoto pia
gogle hivi si uliaga hautarudi tena hapa jf nasie tukakutakia kila laheri uendako
umerudi afu kimya kimya tu hutoi mrejesho.....

Return of the gogle


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 

Gogle si kila mtu anambegu za mapacha!
...
Cha kukusaidia, mimi binafsi ni pacha, so nnazo mbegu pacha, chakufanya uniletee mamaa nikuekee mbegu za mapacha humo then utaendelea nae mwenyewe!
 
Wheelbarrow ni ipi hiyo Mkuu? Tupe elimu tafadhali



Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

ni ile ya kusukuma wheelbarow ya zege,na ukimkuja kama kuna watu wanapiga chabo wanaweza fikiri huyo mwanamke ni mlemavu kumbe ni huo mkunjo.mimi ninao mapacha.ila asipokua mvumilivu lazima anye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…