The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Huyu jamaa introduction yake tu huwa inaniacha hoi, dah!
Mi nadhani ungerudi mjengoni tu mbona panakufanania kabisaNdio mwenyewe, ila nimeshaondoka mjengoni, Mimi huwa sipendi upumbavu
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
mm mwenyewe nataka kujua, aisee...mwenye taarifa sahihi kuhusu Gogle tunaomba atutaarifu hapa!
mbona kifo kinakuwa chepesi hivi kutajwa aisee?
hahahaaaa!!! aisee!Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,
hahahaaaa!!! aisee!
me too i do miss you mamii!
naja tujilie tulichopanda!!!.. au sio bebii? lol