Gogle Narudi njia kuu, nilichepuka nikapigwa ban

Gogle Narudi njia kuu, nilichepuka nikapigwa ban

Mods njoen huku kuna chaklaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Teh Teh hivi wewe si mjumbe wa bunge la katiba kweli!!?
You sound familiar
 
Teh Teh hivi wewe si mjumbe wa bunge la katiba kweli!!?
You sound familiar

Ndio mwenyewe, ila nimeshaondoka mjengoni, Mimi huwa sipendi upumbavu



Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Mods njoen huku kuna chaklaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Ficha ujinga wako wewe.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Ficha ujinga wako wewe.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Mimi naww nan mjinga sasa???? Maskn


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Wadau MMU
Mimi ni yuleyule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,
Wana MMU naomba mnipokee, niliaga hapa nikaenda kule jukwaa la siasa kuliimarisha lakini kibao kimenigeukia, yaani baada ya kupost Mara tatu tu nikala ban, kisa, eti nimemuuliza jamaa kule Kama Ana undugu na Agnes Masogange kwa sababu naona wanafanana shepu zao kwa nyuma.
Sijaridhika kabisa na ban, yaani kumuuliza mtu swali Hilo ni kosa la kupigwa ban?!
Naandaa bango-kitita kwa ajili ya kukata rufaa, nahisi nimeonewa.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Wewe ungeulizwa swali kama hilo ungechekelea???
 
Oya gogle hlo govi lako halijapona,nahisi likipona litaongeza kitu flani kwako ambacho unakikosa kwa sasa.Karibu tena.
 
Kaoge kwanza usije tuletea nuksi za kina mwigulu nchemba.vp mkeo bado unae?nimekutana nae club.
 
Hahhhhahhhha kwa hiyo siasanii hurudi tenaa au
 
Back
Top Bottom