PreGE2025 Godwin Gondwe: Wananchi Singida wanasema hatumdai Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
Dc wa Singida - Godwin Gondwe amesema kitendo cha Rais Samia kuadhimisha siku hii kubwa Singida na kujenga uwanja mkubwa kwa siku chache, wana Singida wanasema hawamdai chochote Rais Samia.
 
View attachment 3321874

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

Wa jina wake aliwaona hawa longtime sana!
 
DCs hakuna chochote wanachofanya kusaidia wilaya zaidi ya uchawa na wizi wa kura kwa aliyewapa teuzi, tunaharibu pesa nyingi kwa nafasi za kipuuzi kama hizi, imagine zile V8 na budget za ofisi zao nchi nzima ni mabilioni ya shilingi,pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo sio kwa hawa chawa
 
Dc wa Singida - Godwin Gondwe amesema kitendo cha Rais Samia kuadhimisha siku hii kubwa Singida na kujenga uwanja mkubwa kwa siku chache, wana Singida wanasema hawamdai chochote Rais Samia.
View attachment 3321874
Fitinaaa sanaa huyu Babu ....aliutaka RC kupitia Ummy kwa kufutinisha wakurugenzi wa Manispaa Dar......mbaya sana huyu Babu.....
 
Back
Top Bottom