Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!


.
Mzee wa upako naona alimdhibiti vilivyo huyo TbJ. Maana alivyoitabiria nchi majanga, mzee wa upako akamwambia kwamba amejileta mwenyewe kwenye 18 zake.
.
 
Godwe nilimkubali siku ya gradu yake ya masters, usiku mnene pale viller park disco wenzake wakiserebuka huku wakiwa chakalii, ye na soda yake tu.
 
Mtu mwingine maarufu niliyemuona ni dada mmoja mtangazaji wa EATV simfahamu kwa jina.Inapendeza kuona bendera ya taifa lako ikionekana ktk tv inayofuatiliwa kuliko Channel yoyote ya Kikristo Duniani.

kwa nini watangazaji wanakimbilia huko,ni swali tu
 
Nimemuona na Doninnata mwimbaji na muigizaji na pia niwaona watanzania kibao..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hii nayo tuite habari?mbona haina kichwa wala mkia?
 
"I see a two storey house" T.B Joshua to Godwin Gondwe.
While shaking n trembling, "yes man of God, l have two houses" says Godwin Gondwe. Kabla hajaanguka wakati wa prayer line session.
 
Nimemwona sasa hivi kapewa prophesy kaombewa kaanguka chini na kufunguliwa mtabaki mnachonga tu mwenzenu huyooooo.....!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…