God's time is a myth, The strategy of redundancy

Namaanisha dini imeshindwa sawa

Na hata mamlaka zitashindwa pia hata zikijifaragua vipi

Kudhani utatunga sheria kali za kudhibiti watu ni kujenga Mungu mpya wa mamlaka

Nina maana utakataa Mungu wa hadithi za kufikiria lakini utajiridhisha kwa Mungu mpya wa mamlaka

Pombe moja kwenye chupa mpya
Binadamu lazima atungiwe sheria kali za kudhibiti maovu.

Bila hivyo, mtu anaweza kujiamulia tu, kubaka, kuua, kuiba, kupiga. Kwa sababu anajua hakuna sheria yoyote au mtu yeyote wa kumkamata.

Kumekuwa na kesi nyingi za viongozi wa dini kulawiti watoto. Mapadri wengi wametuhumiwa kubaka na kulawiti. Masheikh na walimu wengi wa madrasa wamekutwa na kesi za ubakaji na ulawiti.

Hii yote ni kwa sababu, Imani kwa Mungu haisaidii chochote. Ndio maana hata hao Viongozi wa hizo Imani wanafanya maovu.

Lakini baada ya ujio wa sheria kali za kiserikali, Matendo mengi ya ulawiti na ubakaji yaliyokuwa yanafanywa hususani na viongozi wa kidini, yame punguzwa na kudhibitiwa.
 
Mungu muweza wa vyote, alishindwaje kuumba binadamu wasio wapagani?

Mungu ambaye mnadai ni muweza wa yote, angeweza kuumba binadamu wema tu, wasio wapagani, watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote.

Lakini alishindwa kufanya hivyo.

Kama Mungu alijua toka mwanzo kwamba anataka kuaminiwa na kila mtu, Sasa alishindwaje kufanya kila mtu amwamini yeye siku zote na wakati wote?

Au hakutaka aaminiwe na kila mtu?

Au alifanya makusudi wapagani wawepo ili baadae aje kuwaadhibu kwa kutokumuamini?

It doesn't make sense, Mungu muweza wa yote, anaruhusu wapagani wawepo, wakati alikuwa na uwezo toka mwanzoni wa kuumba watu wema tu, watakao mwamini na kumwabudu siku zote.

Ni either Mungu huyo hawezi yote. Au hayupo.

Kuwepo kwa Mungu ambaye ni muweza wa vyote, Kwenye Dunia yenye wapagani ambao wangeweza kudhibitiwa tangu mwanzoni na Mungu muweza wa vyote, kunaleta contradictions.
mkuu Mungu amekuacha uchague ufuate mema au mabaya,

bustani ya Eden wakina Adamu kabla hajala tunda walilo katazwa hakukua na mpagani ila walishindwa kutii maagizo ya Mungu na ndiyo maana kwa kushindwa kutii wakaangukia laana mwanamke kuzaa kwa uchungu na mwanaume kusaka mali kwa jasho,na nyoka nae alilaaniwa hizo ni laana,lakini Mungu kaacha milango wazi watu watubu,

sasa basi wapagani ni watu walioamua kuhasi imani ya Mungu kwa kupenda wenyewe Mungu hajawalazimisha kumpenda mmeachwa mchague upande kama nu nuru au giza wewe umeshajichagulia giza lakini bado Mungu anakupenda ukumkiri yesu ni mwokozi wako na kutubu Mungu anakupokea
 
Mchungaji and what if the bible is not how we interprete
Sometime I think so 🤔maybe it has hidden meanings let's say like solom0n having many 700 wives and300 concubines should be symbolism ?!!
Hii imekaaje
Cz tukija na reality it's not possible at all
 
Ndo kijana bado anaishi enzi izo za tbt😹😹
Mungu atambadilisha tu ipo siku,najua Mungu ni wetu sote na atambadilisha kwa kumfinyangafinyanga atakua bora kuliko hata sisi tuliowahi,majira ya Bwana ni sahihi ingawa anapinga juu ya majira ya Mungu ila kila enzi na zama zake majira yatakuja kijana atakua pastor uzuri post za jf zinaishi miaka karne basi atakuja siku moja aangalie alichoandika
 
Huyu tumemtunza 😂kama ugali uliolala
 
Si
Binadamu lazima atungiwe sheria kali za kudhibiti maovu.

Bila hivyo, mtu anaweza kujiamulia tu, kubaka, kuua, kuiba, kupiga. Kwa sababu anajua hakuna sheria yoyote au mtu yeyote wa kumkamata.

Kumekuwa na kesi nyingi za viongozi wa dini kulawiti watoto. Mapadri wengi wametuhumiwa kubaka na kulawiti. Masheikh na walimu wengi wa madrasa wamekutwa na kesi za ubakaji na ulawiti.

Hii yote ni kwa sababu, Imani kwa Mungu haisaidii chochote. Ndio maana hata hao Viongozi wa hizo Imani wanafanya maovu.

Lakini baada ya ujio wa sheria kali za kiserikali, Matendo mengi ya ulawiti na ubakaji yaliyokuwa yanafanywa hususani na viongozi wa kidini, yame punguzwa na kudhibitiwa.
Sikatai kwamba sheria ni muhimu kuwepo

Ila ukitumbukia kwenye uraibu wa sheria kali hutaepuka chochote

Hata Tz tuna sheria za udhibiti wa nyara za Taifa ila wamang'ati wataishi vipi bila kutafuta nyara za taifa

Nipo tu kudhihiridha kuwa sheria ni upumbavu kama upumbavu mwengine unatii kitu ambacho Babu yako hakuwahi kushiriki kukitunga na unaamriwa utii.!? Ni upumbavu
 
Mchungaji and what if the bible is not how we interprete
Sometime I think so 🤔maybe it has hidden meanings let's say like solom0n having many 700 wives and300 concubines should be symbolism ?!!
Hii imekaaje
Cz tukija na reality it's not possible at all
new challenge mtumishi,ndiyo maana nasema agano jipya limekaa vyema sana ,kama umesoma kitabu cha Mungu yesu aliulizwa hili swali ngoja ni quote mtumishi nikuwekee hapa

Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.”

unaona hilo neni hapo,basi hapa chini sasa yesu anawajibu

Yesu akawajibu, ‘Je, hamjasoma kwamba hapo mwanzo muumba aliwaumba mwanamume na mwanamke? Na Mungu akasema, ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake na kuunganishwa pamoja na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ Kwa hiyo wao si wawili tena bali mwili mmoja. Kwa hiyo, wanadamu wasitenganishe kile ambacho Mungu ameweka pamoja.
baada ya yesu kuwajibu wakamuuliza tena ona hapo chini
Mafarisayo wakamwambia, ‘Basi, kwa nini Mose alituamuru tumpe cheti cha talaka na kumtaliki?’ Yesu akawajibu, ‘Musa aliwaruhusu ninyi kuwataliki wake zenu kwa sababu ndoa zenu ziliwapa talaka. mioyo haina mvuto. Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia ninyi kwamba yeyote anayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uasherati na kuoa mwanamke mwingine anazini.”
 
Mchungaji and what if the bible is not how we interprete
Sometime I think so 🤔maybe it has hidden meanings let's say like solom0n having many 700 wives and300 concubines should be symbolism ?!!
Hii imekaaje
Cz tukija na reality it's not possible at all

yesu akamalizia kwa kusema hivi juua ya mafundisho ya mume na mke

Wanafunzi wake wakamwambia: “Ikiwa mambo ni hivyo kati ya mume na mke wake, ni afadhali kutooa. ’ Akajibu, ‘Si kila mtu anayeweza kukubali fundisho hili, bali ni wale tu ambao wamepokea uwezo wa kulikubali
 
mkuu Mungu amekuacha uchague ufuate mema au mabaya,
Kwa hiyo Mungu aliruhusu mabaya yawepo, ili tu yaweze kuchaguliwa katika options za matendo yetu?

Does it make sense kweli?

Uruhusu mabaya yawepo, just because you want to show the options?
bustani ya Eden wakina Adamu kabla hajala tunda walilo katazwa hakukua na mpagani ila walishindwa kutii maagizo ya Mungu na ndiyo maana kwa kushindwa kutii wakaangukia laana mwanamke kuzaa kwa uchungu na mwanaume kusaka mali kwa jasho,na nyoka nae alilaaniwa hizo ni laana,lakini Mungu kaacha milango wazi watu watubu
Kama Mungu aliumba kila kitu perfectly, Kwa nini kina Adamu walikosa utii?

Kama Mungu aliumba kila kitu perfectly, Ni nini kilimshawishi Shetani kuasi?

Huoni kwamba uumbaji wa Mungu una dosari na mapungufu na haukuwa perfectly?

Ndio maana Shetani aliweza kuasi. Ndio maana Adamu na Hawa walikosa utii.

Mungu ambaye mnadai ni mkamilifu na muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wenye utii wakati wote?

Mungu mnayedai kwamba anajua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kuleta uasi, amdhibiti na kumzuia mapema?
,

sasa basi wapagani ni watu walioamua kuhasi imani ya Mungu kwa kupenda wenyewe Mungu hajawalazimisha kumpenda mmeachwa mchague upande kama nu nuru au giza wewe umeshajichagulia giza lakini bado Mungu anakupenda ukumkiri yesu ni mwokozi wako na kutubu Mungu anakupokea
It doesn't make sense kuacha mabaya yawepo, just because you want to showcase your options.

Mungu kama alikuwa hataki mabaya yafanyike, asingeruhusu uwepo wa mabaya duniani. Kwa sababu alikuwa na huo uwezo.

Kuacha mabaya yawepo na yafanyike duniani, ili kuonyesha uhuru wa machaguzi wa matendo, ni ujinga.
 
yesu akamalizia kwa kusema hivi juua ya mafundisho ya mume na mke

Wanafunzi wake wakamwambia: “Ikiwa mambo ni hivyo kati ya mume na mke wake, ni afadhali kutooa. ’ Akajibu, ‘Si kila mtu anayeweza kukubali fundisho hili, bali ni wale tu ambao wamepokea uwezo wa kulikubali
Mbona umetumia njia ndefu kunielewesha
 
Kwa hiyo Mungu aliruhusu mabaya yawepo, ili tu yaweze kuchaguliwa katika options za matendo yetu?

Doesn't it make sense kweli?

Uruhusu mabaya yawepo, just because you want to show the options?

Kama Mungu aliumba kila kitu perfectly, Kwa nini kina Adamu walikosa utii?

Kama Mungu aliumba kila kitu perfectly, Ni nini kilimshawishi Shetani kuasi?

Huoni kwamba uumbaji wa Mungu una dosari na mapungufu na haukuwa perfectly?

Ndio maana Shetani aliweza kuasi. Ndio maana Adamu na Hawa walikosa utii.

Mungu ambaye mnadai ni mkamilifu na muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wenye utii wakati wote?

Mungu mnayedai kwamba anajua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kuleta uasi, amdhibiti na kumzuia mapema?

It doesn't make sense kuacha mabaya yawepo, just because you want to showcase your options.

Mungu kama alikuwa hataki mabaya yafanyike, asingeruhusu uwepo wa mabaya duniani. Kwa sababu alikuwa na huo uwezo.

Kuacha mabaya yawepo na yafanyike duniani, ili kuonyesha uhuru wa machaguzi wa matendo, ni ujinga.
ukisoma vizuri nilichoandika utagundua kama kuna kitu hujagundua ,huo ukamilifu ulikuwepo tangu awali ila sasa wanadamu ni wajuaji,

utagundua Mungu aliweka kila kitu kuwa perfect mwanzoni kabisa ,kila kitu mnakipata bustanini kila kitu kilikua free kwa kuwa alitupenda,

lakini kwa kuwa wanadamu na tamaa zao za kutaka kujiongeza na kutaka kujuwa maarifa mengi kumzidi Mungu wakala tunda lililokatazwa wakiamini lingewaongezwa maarifa kumzidi Mungu kama wewe hapo sasa unavyofanya kuamini una maarifa mengi kumzidi Mungu na kuuliza mbona hii haikua hivi au mbona vile, hapo unakuosea ndugu ukitaka kujuwa kwa ufasaa muombe roho mtakatifu uzuri umepitia seminary kama mdau mmoja amesema hapo,unauweza ukajifunza vizuri kutumia rohi ya Bwana iliyondani yako ambae ni roho mtakatifu
 
Mbona umetumia njia ndefu kunielewesha
njia ndefu upunguza hujaza maswali mengine sema wapi hujaelewa,kwa kifupi zamani walikua na wanawake wengi yesu kaeleza uzaifu hapo ni kwanini lakini pia amesema tangu mwanzo mlikosea
 
A

Au hao wanawake Kuna namna walikuwa wanahesabiwa tofauti😹
 
Back
Top Bottom