Police unamlipa laki tano na nusu kwa mwezi, ana familia - mke na watoto watatu, mshahara hautoshi anakimbizana mabarabarani huko walau kufidia matumizi - Unaamua kumpa kiwanja - sasa hiyo hela ya kujengea aipate wapi? na je unategea ubora wa hiyo nyumba uweje?
Lema yupo sahihi, boresha maslahi yao kwanza kisha weka utaratibu wa rehani ( mortgage plan), hakuna njia nyingine yoyote ile ya kumfanya huyu askari aishi kwenye nyumba bora kuliko hii.
CCM hii ni homework kwenu mmepewa - kama kweli mna nia njema ya kuwasaidia hawa askari wetu ni lazima mtumie njia hii.