Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

Tatizo:
1) Mishahara ya watumishi bado ni ya chini kuweza ku afford mortgage instalments.
2)Mortgage zinahusisha developers na banks. Hawa wote wanaongeza gharama zao. Hivyo inafanya nyumba kuwa za gharama za juu.

Kwa Ulaya na American, Mortgage ni solutions kutoka:
-Expensive labour Costs.
-Logistics
-Council Planning permission ni time consuming hasa kama hauna uzoefu.
-Na gharama nyingine kama za lawyer, surveyor, architect, project manager, contractor na nyingine kibao.
-Ni impossible kupata mortgage loans kama hauna assets nyingine kuziweka rehani.
-Uhaba wa viwanja. Mfano kwenye miji mikubwa. Mfanyakazi (hata middle class) hawezi kuafford kununua kiwanja na kujenga nyumba yake mwenyewe tofauti na developer ambaye atajenga apartments nyingi kwenye kiwanja hicho.
 
Mtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
Asante kwa matusi yako ila maono yake ndio mnayoyaishi leo na CCM yenu, moja baada ya jingine mnalitekeleza vivyo hivyo taratibu mnamgeuka Mwanakwenda Zake MAGUFULI na LEGACY yake ya utawala wa KIDHALIMU na KUKURUPUKA ndio inazidi kujijenga na kuota mizizi, kadri kila siku mnazopindua mambo kumgeuka kinyume na yalivyokuwa matakwa yake

Katika hili la mortgage nina hakika kuna siku CCM mtaishi katika ushauri huo ambao mfano wake ni rahisi sana ni kama vile unavyo mkopesha mwanafunzi wa elimu ya juu ambae baadae alipata kazi unamkata katika mshahara wake. Kizuri zaidi POLICE wapo kazini tayari kwa dharna za kazi yao na mifuko yao katika taasisi za mifuko ya jamii
 
Ameandika hivi kupitia Twitter:

Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda mrefu ndio solution


Lema amekurupuka na kudandia hoja. Kama ilivyo kawaida yake ni mtu wa matukio, hawezi kuwa na hoja binafsi. Akiwa mbunge, hakuona umhimu wa kuboresha maslahi ya wafanyakazi?

Naamini Lema kaiokota huko aliko kwa kuwa haelezi hiyo "mortgage plan" ikoje na inatofautiana vipi na "pension scheme" ya hapa.
 
Lema amekurupuka na kudandia hoja. Kama ilivyo kawaida yake ni mtu wa matukio, hawezi kuwa na hoja binafsi. Akiwa mbunge, hakuona umhimu wa kuboresha maslahi ya wafanyakazi?

Naamini Lema kaiokota huko aliko kwa kuwa haelezi hiyo "mortgage plan" ikoje na inatofautiana vipi na "pension scheme" ya hapa.
Jinga wewe.
 
Andika na kuwatukana sana ila Mungu huwa ni mwaminifu upandacho ndicho utakikuta kwenye kihenge
Asante kwa kumjibu huyo mjinga wa karne elitwege.Lema ameshauri jambo zuri na kwa upendo.Kwamba isiwe tu askari bali madaktari wanaomtibu jinga elitwege,walimu wanaomfundishia watoto wake elitwege wasiwe wajinga kama yeye, wauguzi etc wanatakiwa kupewa HAKI zao na MASLAHI wezeshi ili wamudu maisha na wafanye kazi vyema.

Jinga moja linakuja kuandika ujinga
 
Sio ndio maana kawaambia waboreshe masilahi ya wafanyakazi au wewe huelewi?!
Nadhani Lema yuko sawa kwa maana ya kupanua wiko kujadili hata kama mawazo yake pia hayatekelezeki kama alivyodai ya Waziri pia.
Wote wawili Lema na Waziri wana nia njema kwa askari sasa njia iwe ipi?

Mortage plan inafaa kama wanao uwezo kulipa huo mkopo.
Kama ni mpaka masilahi yao yaboreshwe basi wazo hilo si la muda mfupi, maana haiwezi kuwa leo masilahi yakaboreshwa kukidhi hitaji la kukopesheka.
Basi ije plan B
Tujadili hoja sio watu.
Tujadili positively tukijua wote tunania moja njema
 
Back
Top Bottom