Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.


Lema anakuwa mpuuzi muda mwingine.. kwanini hakuenda AAR pale Uzunguni.. Bangi wakati mwingine huathiri akili
 
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.


"USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA"
KWA TAARIFA.
KWA KADI ZA NHIF ZA WAHESHIMIWA WABUNGE WETU WANAWEZA KUTIBIWA/ ZINAKUBALIKA AGAKHAN MAIN HOSPITAL.
KWA SISI WENGINE UNAWEZA KUTIBIWA KWENYE VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI ZA AGAKHAN ISIPOKUWA MAIN HOSPITAL.
 
Mbona nilisikia Aghakhan hawapokei hizo bima zamani sana!au Mh alikua hajui
Wiki iliyopita nlikuwa pale kutibiwa nkatoa kadi ya nhif nikaambiwa bado hawapokei ila wanapokea za wabunge peke yake...so kama kitu hujui uliza kwanza mkuu
 
Naona kick hii ime-backfire.
Kama haujui kitu vizuri ni vema kuuliza upate maelezo ya kina toka kwa wahusika.
Sio kila jambo utapotosha ili upate sifa au umchafue mtu/taasisi fulani. Saa nyingine utajikuta unajichafua mwenyewe.
Tunakagua viwonder aache kutuvuruga
 
Lema Muongo Muongo

Aghakhan hawakubali NHIF, Kama kweli kakataliwa ni kwa sababu hiyo sio mambo ya Fedha aende TMJ au Regency
Kiongozi wabunge wanatibiwa na hiyo kadi isipokuwa watu wengine hawakubali...mm nlikwenda nkaambiwa maneno hayo so yupo sahihi lema
 
Huyu nae.... haijaanza hiyo leo, kuna hospitali hawapokei hiyo NHIF na sio hospitali tu... hata kuna pharmacy zilikua zinapokea na sasa zimeacha sababu malipo yanachelewa kiasi cha kuathiri mzunguko wa fedha.
Hii sio hoja ya kubwatuka mtandaoni haijaanza leo na zaidi zaidi inazidi kuwa worse.... angeonekana wa maana angelalamika akiambatanisha na solution.
 
Wiki iliyopita nlikuwa pale kutibiwa nkatoa kadi ya nhif nikaambiwa bado hawapokei ila wanapokea za wabunge peke yake...so kama kitu hujui uliza kwanza mkuu
Tatizo la wabongo kila kitu ni ushabiki
 
Tamko linatakiwa litolewe na Serikali kuhusu BIMA ya NHIF ili kama hawajalipa deni tujue na tuambiwe ukweli list ya hospitali ambazo tunaweza kwenda tukiwa na shida
 
NAYE HUYU WAKATI MWNGINE ANALAMIMIKA LALAMIKA MPAKA KICHEFUCHEFU.MBUNGE MZIMA UNAYEPOKEA MIL KUMI KILA MWEZI UNAKUJA KUBANANA NA SISI KWENYE HUDUMA YA AFYA YA NHIF YA BUKU KUMI AU ELFU HAMSINI.YEYE ILE HOSPITALI WALIKUWA WANAGOMBEA KUIFUNGUA NA MKUU WA MKOA IPO WAPI ANGEENDA HUKO AKATIBIWE.KWANINI ASIKATE BIMA KUBWA YA AFYA
Kwani kakwambia alimpeleka mwanae
 
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.


Kwanini huu uzi mmeubadilisha jukwaa, ulikuwa jukwaa la siasa baada ya wachangiaji wengi kuonesha hii ni Habari ya uongo Moderator wameuleta huku ili kupunguza makali kitu mlichoshindwa ni kuufuta tu.

Hii inaonesha jinsi gani jf isivyo balanced and double standard mnajifanya where we dare to speak openly kumbe ni makanjanja tu ya tanapa, kwa taarifa yenu mmefeli hamuwezi kumchonganisha Magufuli na wananchi sababu mpo wachache na dhaifu sana.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Siasa za kishamba kuna mtu amemwambia aitumie kama kiki na alivyoboya akaipandia hewani bila hata kufanya uchunguzi mdogo. Kama wanakubali nhif card

Ukimuuliza hata agakan ipo upande gani jijini hajui tanapa mmekosa hoja siku hizi mmekua wa bei rahisi kweli.
Viwonder
 
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.



SAMAHANI hivi anamaanisha NHIF Kenya ama hapa nchini? maana najaribu kusoma Agakhan (http://www.agakhanhospitals.org/Kisumu/InformationPatients) naona wanapokea ila hapa nchini kwa asilimia kubwa hawapokei hiyo. Ni vizuri kujua kama kadi hupokelewa ama haipokelewi ili usije ukakosa huduma ukalaumu watu wengine kumbe ni suala tu binafsi la kufuatilia masuala ya BIMA ZA AFYA.
 
Lema Muongo Muongo

Aghakhan hawakubali NHIF, Kama kweli kakataliwa ni kwa sababu hiyo sio mambo ya Fedha aende TMJ au Regency

WAKATI MWINGINE KABLA YA KUONGEA UWE UNAULIZA BIMA YA NIHF YA MBUNGE NI TOFAUTI NA HIZI ZA KAWAIDA, KWAHIYO BIMA YA NHIF YA MBUNGE NI ACCEPTED AGA KHAN HOSPITAL
 
hshshhs natamani angekuwa ndugu yangu !aisee ningekuwa nalichambaa

nahisi hizo nguo ni zako, bado mnavaliana nguo zama hizi!?
 

Attachments

  • IMG-20171102-WA0008.jpg
    IMG-20171102-WA0008.jpg
    51.6 KB · Views: 27
Back
Top Bottom