Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

Ww ndezi kweli umekurupuka kuropoka kumbe hamna kitu...huko kijijini unakokaa ndo hawapokei...kwanza hiyo mitihan mmeshamaliza
Ubongo nukta kama wewe ni wa kupuuzwa.... ukimaliza utapita kimya kimya. Acha kunijazia notification. Moron!
 
Wanapokea kwenye branches ila makao makuu hawapokei mfano mbeya nimetibiwa sana nhif
 
Ye yuko wapi?? Mbona kcmc, seliani, mount meru Hosp, st Thomas, AICC Hosp kote zinapokelewa..tatizo haka kajamaa kanataka kuleta ubishoo kila sehemu..uchumi na hospital kutopokea card wapi na wapi??
 
Lema Muongo Muongo

Aghakhan hawakubali NHIF, Kama kweli kakataliwa ni kwa sababu hiyo sio mambo ya Fedha aende TMJ au Regency
Regency ni bomba sana mm natumia Bila wanapokea Bila shida yoyote ata st kizito Hosp mikumi
 
NHIF ni tatizo kwa sbb wana tabia ya kutowalipa watoa huduma waliongia nao mikataba kwa wakati....

Achilia mbali hospital kama hiyo ya Agha Khan iliyomtosa Lema na mwanae kwa sbb hii hii ya kutolipwa.....

Pia yapo maduka mengi ya dawa (Phamarcy) mitaani ambayo yalikuwa na mikataba na NHIF wameachana nao kutokana na sababu hii hii ya kutolipwa ama kucheleweshewa malipo bila sbb za msingi...

Kibiashara hilo halina afya na halikubaliki. Unawapelekea invoice leo kisha inachukua miezi miwili kulipwa fedha zako? Si ni biashara kichaa hiyo?

Kwa hiyo nadhani, NHIF wajirekebishe ili sisi wanachama tusipate taabu ya kupata huduma popote na wakati wowote na kwa urahisi....

Tukumbuke tu kuwa NHIF ndiyo mfuko wa bima ya afya ulio contain wanachama wa sekta karibu zote za umma hususani walimu na manesi (Anya) nk ambao wamezagaa kila kona nchi hii....

Kuleta urasimu katika huduma zao ni kuwaumiza bila sbb za msingi...!!
 
Tuwage tunafuta ya kulaumu yanayofanana na ukweli. Aghakhan !!!!@@ duh wakajibu hawajalipwa muda mrefu watalipwake wakati hawatoi huduma za NHIF
 
Back
Top Bottom