Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

Bora kuikosa hyo heshma, kuliko kunyamaza wkt wananchi wanateseka, GO AHEAD LEMA! Watz 2ko nyuma yako, mapambano daima mpk kieleweke, we kshongo njaa itakuua. Mtasema kla k2, ha2rud nyuma tna!
 

Tunataka Wabunge wa namna ya LEMA, Tungekuwa nao 26 tu wangetosha kuhamasisha maandamano nchi nzima na hapo ndio ungejua WaTZ tunataka nini.
 
Wakina Godbless Lema tuko wengi........wengine tumenyamaza tu, siku tukianza hapatakalika hata hapo ulipokalia!! Viongozi wako mafisadi ndo wamefikisha taifa hapa lilipo....(nahisi hata wewe ni fisadi!!). Sasa kwa taarifa yako na mafisadi wenzako msiposoma alama za nyakati na mkazielewa basi sisi tunazisoma na tunazielewa!
 
Yaani ungeokoa maisha ya keybord yako kwa kuto type ujinga wa namna hii.
Acha kufundisha watu woga na dhuluma. Mtu kama wewe ni sumu kwa taifa,kanisa/msikiti, na kwa familia yako pia.
 

Welcome to the internet. Where everyone has an opinion.
 

thank you for this crap of the week end.

someni alama za nyakati nyie manyang'au!!!!
 
Tunataka Wabunge wa namna ya LEMA, Tungekuwa nao 26 tu wangetosha kuhamasisha maandamano nchi nzima na hapo ndio ungejua WaTZ tunataka nini.

I agree. Tanzania tungekuwa na wabunge 26 waliofeli mtihani wa Form 2 na tuhuma tele za utapeli kweli tungefika mbali.

Mbunge anayefosi wanafunzi waingie kwenye ukumbi ambao ushajaa, but plays to their emotions because he knows they are just kids.
 
nawewe utakuwa unapara miwa pia. Kids ?? Wanafunz wa vyuo??? Ume2mwa pia ndg yng. Hao wnye elim za 4m 4 c ndo wezi wakbwa wa raclmal za waTZ! Kaoge ulale, sawa mtt mzr eeh?
 
Lema ndio rais wa nchi hii, kijana anabusara sana hii ndio cream ya uongozi ya CHADEMA.
 
nawewe utakuwa unapara miwa pia. Kids ?? Wanafunz wa vyuo??? Ume2mwa pia ndg yng. Hao wnye elim za 4m 4 c ndo wezi wakbwa wa raclmal za waTZ! Kaoge ulale, sawa mtt mzr eeh?

To me watoto wa chuo kikuu are just kids.

Also, try to express yourself as a grown up. Sasa "raclmal" ndio nini? Nyie and your pysche ndio mnaoturudisha nyuma watanzania. How can somebody take u serious, when u don't even respect the way u represent yourself? #Itsdisgrace #SMH
 


Tuambie sheria ipi aliivunja Lema kuhamasisha wanavyuo, na je wanavyuo walivunja sheria ipi kuja kwao ukumbi wa msekwa... Mwambie Tambwe aende Iringa akafanye mkutano kisha asipande gari atembee kwa miguu mpaka kwenye hotel atakayokuwa amefikia uone nini kitampata......hiyo ni dalili tosha Lema/CDM inakubalika pande zote siyo Arusha tu

Najivunia kuwa na Mbunge jasiri kama Lema....Lema endelea na kasi hiyo hiyo
 
 
Jamani tuache unafiki wa mchana kweupeeeee.... ama kwa hakika LEMA ni chiboko. Mie pia ni miongoni mwa vijana ambao na mkubali sana sana lena. Nimemfuatilia kwa makini sana na mwanzoni nilifikiri ni mtu wa kawaida tha guy is extra ordinary... LEMA GO GO GO hakika watanzania tupo pamoja nawe. I la tu usije ukatusaliti kama akina Nyepesi!
 
huyu jamaa kakosea lakini vijana hapa si mahali pa kuwatukana watu na kuwadhalilisha. ajaribu kuambiwa kwa ustaarabu, just imagine mwanao anasoma forum kama hii kisha anaona jinsi gani watz tunavyotukanana na kudhalilishana anajenga picha gani? labda hii forum ni kwa ajili ya matusi nisameheni
 
Without a doubt Lema anajua nini anachopaswa kukifanya always. Anapaswa kupongezwa kwani ile ilikuwa ni public hearing then yeye alichofanya ni kupita kuwaambia watoto wa wakulima wanaojua lugha wakachangie mawazo yao kwani muswada unawahusu wao na sio mamilion ya watz ambao lugha inawapa tabu ya kidhungu.

Hawa jamaa walikuwa hawana plan wanawezaje kuandaa public hearing ya swala nyet la katiba katka ukumbi mdogo kama Pius Msekwa hall ambao hauwezi kuchukua watu hata 400 kwa kuwabananisha ni dhahiri walikuwa hawataki watu waje kutoa maoni then wafanye generalization zao mswada wao uwe umepita. F*#@k ccm
 
Huyu Rc bwana, sasa hizo degree zake tatu zinamsaidia nini.Msomi kama huyu alafu anakuwa unthinkable ama kweli kichuguu hakiongezewi udongo.GODBLESS LEMA BE BLESSED!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…