Godbless Lema na ukweli mchungu kuhusu mtu mweusi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,209
Reaction score
162,783
Huu hapa chini nin ujumbe alioutoa kupitia mtandao wa twitter:

Wachukue Waafrika wapeleke Norway/USA na waondoke vitu vyote vya thamani walivyo navyo.Halafu Norway /USA warudi Afrika wakiwa mikono mitupu.Baada ya miaka 20,Waafrika walio kwenda Norway/USA wataanza kutaka kurudi Afrika kutafuta Maisha bora.Shida kubwa ni Mindset sio RASILIMALI-Godbless Lema
 
YEYE ALIFANYA AU KAFANYA NINI HAPA AFRIKA,UKIACHA UJAMBAZI WAKE,NA KISHA MITAFARUKU YA CCM ARUSHA AKAPATA UBUNGE NA LOWASA AKAMSAIDIA NGUVU 2015?MHUNI TU HUYO.
UJINGA WETU NDIO KULA YAO.
 
Hiyo fikra iko beyond sana, wewe ona tofauti ya south Africa iliyopata uhuru 1994 na nchi nyingine za Afrika ndo utaona utofauti.
 
kote huko kwanini ...aangalie South Africa ya mweusi na South Africa ya mweupe(bila sera ya ubaguzi). ....na Zimbabwe...... au angalia mradi hapa nchini uliokuwa chini ya mzungu then wakaondoka na kuwapa wazawa .....
 
Lukatony jenga hoja ya mwafrika kwenda ulaya acha propaganda za Lumumba.
Bila wakurugenzi, polisi na wezi wa kura nyie wepesi kama unyoya!
Sasa ni rushwa kununua wapinzani njaa!!
 
Huu hapa chini nin ujumbe alioutoa kupitia mtandao wa twitter:

Wachukue Waafrika wapeleke Norway/USA na waondoke vitu vyote vya thamani walivyo navyo.Halafu Norway /USA warudi Afrika wakiwa mikono mitupu.Baada ya miaka 20,Waafrika walio kwenda Norway/USA wataanza kutaka kurudi Afrika kutafuta Maisha bora.Shida kubwa ni Mindset sio RASILIMALI-Godbless Lema
Ukiwemo wewe na yeye ,mindset zenu hazitaki badilika .
Mmejawa lawama vichwani mwenu badala ya ubunifu
 
Huu hapa chini nin ujumbe alioutoa kupitia mtandao wa twitter:

Wachukue Waafrika wapeleke Norway/USA na waondoke vitu vyote vya thamani walivyo navyo.Halafu Norway /USA warudi Afrika wakiwa mikono mitupu.Baada ya miaka 20,Waafrika walio kwenda Norway/USA wataanza kutaka kurudi Afrika kutafuta Maisha bora.Shida kubwa ni Mindset sio RASILIMALI-Godbless Lema

Kipya ni kipi sasa hapa..?!
Mwenyewe ni mropokaji hiyo mindset anayoisema ni ipi kama yeye na nyinyi vinyumbu vyake hamuitumiii..mmekazania kulialia tuuu
 
Uyi mwizi wa magari kupata ubunge wa huruma ya ujomba atasemaje?
Huu hapa chini nin ujumbe alioutoa kupitia mtandao wa twitter:

Wachukue Waafrika wapeleke Norway/USA na waondoke vitu vyote vya thamani walivyo navyo.Halafu Norway /USA warudi Afrika wakiwa mikono mitupu.Baada ya miaka 20,Waafrika walio kwenda Norway/USA wataanza kutaka kurudi Afrika kutafuta Maisha bora.Shida kubwa ni Mindset sio RASILIMALI-Godbless Lema
 
YEYE ALIFANYA AU KAFANYA NINI HAPA AFRIKA,UKIACHA UJAMBAZI WAKE,NA KISHA MITAFARUKU YA CCM ARUSHA AKAPATA UBUNGE NA LOWASA AKAMSAIDIA NGUVU 2015?MHUNI TU HUYO.
UJINGA WETU NDIO KULA YAO.
Na ww umedhihirisha waafrka ni hohehahe

Kulikuwa kuna haja gani ya kum attack yeye badala ya hoja yake

Tujitahidi kupunguza uswahili hata kuondoa wote ni shida
 
Kwani Wakoloni kwa ujumla wao wamekaa miaka 80,hakuna wasomi, tulikuwa taabani, majiji yetu yalikuwa hovyo. Sisi tangu tupate uhuri 1961,ni miaka 54 tu, angalia tulipo sasa tunasoma, ndege twapanda.

yaani raha sana, halafu tuko wengi, rahisi kabisa tukigoma kununua mali zao watakufa njaa, hata hizo nchi alizotaja zimejengwa na jasho la watu (watumwa) weusi, kutoka Africa.

Sasa wazungu wa Norway/ USA, wao hawakuwa na shida saana km tulizopitia sisi weusi tuanze na;;
Utumwa jumla miaka 400, Ukoloni, ukoloni mamboleo, Vita ya wenyewe kwa wenyewe, ukimwi, Ebola heeee! hayo ni mapambano yetu, lkn bado tunazidi kuishi kwa kishindo na magorofa twajenga. tunaifanya Africa yenye Afya, waweza enda Cairo mpaka Durban, Ghana kwa Baiskeli

Watupe miaka 200 tu ijayo, nusu ya miaka ya utumwa watalia pooo!

Mbunge ametuangusha hajui history.
 
Back
Top Bottom