Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
watu wenye hoja nyepesi kawaida yao ndo hiyo! ka lema ni mwalifu na zombe anajua hilo alikuwa wapi kusema na hali alikuwa bosi mkubwa ndani ya jeshi la polisi?na bado atachizika sana make damu ya mtu sio kitu cha kawaida!we know that it is political consipiracy!
 
Halafu kuna habari alimtenda sivyo Defao, yule mwanamuziki nguli wa Congo Drc.
Afu hawatuwekei data kama hzo za defao kutendwa ndivyo sivyo, wamekazana kuweka data za lema. Wambea na wenye wivu utawajua tu! Sijui wanalipwa sh ngapi hawa!
 
Hata Slaa alikuwa padre siku hizi ana watoto
Alikuwa,....... kumbe sio padri, asante sana kwa ufafanuzi mzuri. mungu akubaliki kwa kuwa mkweli na kweli itakuweka huru. sasa turudi kwa JK na Mattaka. tunaomba kujuwa huu ukaribu wao.
 
Afu hawatuwekei data kama hzo za defao kutendwa ndivyo sivyo, wamekazana kuweka data za lema. Wambea na wenye wivu utawajua tu! Sijui wanalipwa sh ngapi hawa!
Usiwe na haraka nao hawa, mimi ndio nawaelewa vizuri muda si mrefu utaona hii thread wameikimbia wao wenyewe walioianzisha.
 
poor reasoning capacity! umetumwa ehe!wa magamba mbona wana makubwa saaaaaaaaaaaaana na si ya kutafuta yanajieleza na bado wanadunda!hiyo si hoja!kwa nini lemaq alipomsema zombe ndo kashtuka alikuwa wapi siku zote?
 
Alikuwa,....... kumbe sio padri, asante sana kwa ufafanuzi mzuri. mungu akubaliki kwa kuwa mkweli na kweli itakuweka huru. sasa turudi kwa JK na Mattaka. tunaomba kujuwa huu ukaribu wao.
Hahaha!.. Nimecheka kwa raha zangu... Ubarikiwe.
 
Wakuu hapa naona watu hamtendei haki Ngongo.. yeye alichofanya ni kuleta data ambazo zinasemekana mtaani (ambazo hazijasibitishwa) sasa cha maana ni kumbishia na kusema kwamba asemayo sio ya kweli.... Haya mambo ya kwamba amekosa kazi, basi hata mnaomjibu mmekosa kazi...

Tukiendelea hivi watu watakuwa wanaogopa kuleta habari yoyote ile..., cha maana ni kubishia habari na sio kumshambulia mleta habari (after all sidhani kama kuna guindelines ya habari gani inapaswa kuletwa hapa)
 
Usiwe na haraka nao hawa, mimi ndio nawaelewa vizuri muda si mrefu utaona hii thread wameikimbia wao wenyewe walioianzisha.
Thanks mods wameziondoa, mbaya zaid napost via mobile, like hazipo nngekugongea za ukweli, usijali zangu nagonga kimoyo moyo na naiman zinakufikia...lol
 
Sasa wewe hapo ndio umechangia nini? hauoni kama kuna swali hapo linakimbiwa? watu nao wanahoji kama ukiwa na ukaribu na mtu mwenye rekodi mbaya je nawewe unahusika na matendo hayo?
kama jibu ni ndio, hapo ndipo linapokuja swali la uhusiano wa JK na Mattaka wadau nao wangependa wajulishwe uhusiano wao, kumbuka hawa ni maswahiba kabla ya JK hajawa Rais.
 

Duh.. ama kweli JF is home of great thinkers.
 
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
Massawe ni mwanachama na mfadhili wa sisiem, Lema ni mwanachama wa cdm na mbunge
 
Hivi unajua ngongo ameshaleta mara ngapi habari za mtaani kumuhusu lema? Ukubali ukatae ngongo ana chuki binafsi na lema na hilo liko wazi kabisa ndugu yangu.
 
Mbunge Lema kutumia mil. 60/- kila mwaka kusomesha wasiojiweza.


By Dullonet Tanzania– March 2, 2011

Na Halfani Lihundi, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, anatarajia kutumia jumla ya shilingi milioni 60 kila mwaka kwa ajili ya kusomesha watoto wanaotoka katika famili zisizojiweza.
Watoto hao ni wale wanaosoma kwenye shule za sekondari za kata kutoka kwenye kata 19 za manispaa ya Arusha.
Pesa hizo ambazo zinatoka kwenye taasisi ya maendeleo jimbo la Arusha ambayo iko chini ya ofisi ya mbunge huyo zitatumika kwa malipo ya ada na michango mbalimbali kwa jumla ya wanafunzi 400.

Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Elifuraha Mtowa, alisema wanafunzi hao ambao wazazi wao au walezi hawana uwezo wa kuwalipia ada watasomeshwa na mfuko huo hadi kufikia Chuo Kikuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…