Godbless Lema: Mgombea wetu wa udiwani atishiwa kuuawa baada ya kukataa kupokea rushwa ya shilingi milioni tano ili ajitoe

Ningekuwa sijalishuhidia Mafinga ningesema kama wewe, lakini nimekutana na Katibu wa CCM analalamika amemwomba OCD amkamate mgombea wa Chadema siku anarudisha fomu kwa kesi ya mgogoro wa ardhi ili ashindwe kurudisha fomu lakini OCD amekataa.
 
Binafsi nimeshachoshwa na lialia za Chadema, hivi najiuliza wale vijana wao waliowafundisha ukakamavu wako wapi? Huu si ndio muda wa jino kwa jino?

Maana nawakumbuka vijana wa Cuf ngangari kule Pemba walikata mtu kichwa kikatenganishwa na kiwiliwili ndio walianza kuheshimiwa.
Kwa kweli Mbowe naye anakwama sana kama anabembeleza watu namna hii si aende likizo amwachie Heche umwenyekiti mpaka uchaguzi huu upite!!
 
Huu mwaka haupita bila nchi hii kuandika historia kama tulivyoona katika mataifa mengine.

Na yule aliejiapiza kuona upinzani unakufa na ambae anajifanya yeye ni mtu wa Mungu, ajue tu yeye ndio atabeba lawama zote.
Mwaka utaisha kwa amani na ccm itaendelea kuwatawala wapumbavu na malofa kama alivyosema mzee mkapa.
 
Binafsi nimeshachoshwa na lialia za Chadema, hivi najiuliza wale vijana wao waliowafundisha ukakamavu wako wapi? Huu si ndio muda wa jino kwa jino?

Maana nawakumbuka vijana wa Cuf ngangari kule Pemba walikata mtu kichwa kikatenganishwa na kiwiliwili ndio walianza kuheshimiwa.
Unajua ccm hawafanyi kosa makosa yako upinzani tu hawachukuliwi hatua kwa sababu wanapewa kinga na ccm wanaowatuma kufanya ujinga huo.

Kwahiyo hayo wanayofanyiwa sio kwamba hawawezi kujibu bali policcm wapo kuwadhibiti upinzani na kuwafungulia kesi za kishamba.

Lakin ipo siku ndugu hayo watayajua in shaa Allah.
 
Hizi ni drama za Chadema Mkuu. Hapo hakuna lolote wanatafuta kiki tu. Mgombea akatae milioni 5 wakati fedha tu ya kampeni, ukute hana.
Yaan ccm mna siasa za kishamba sana na ujinga WA kutojua ushindani nini kwenye siasa.
 
Yaani badala ya kususia uchaguzi na kusisitiza Tume Huru mnakuja kujificha huku na haya matumaini hewa!!??
 
Wewe tume huru siyo hitaji lako?
Kila kitu kina wanaokisemea au kukishinikiza... Mimi niliwashauri nini cha kufanya...
Anyway, njia pekee walobaki nayo ni kuingia barabarani... Hakuna risasi zitatua sote...!!!
 
Kila kitu kina wanaokisemea au kukishinikiza... Mimi niliwashauri nini cha kufanya...
Anyway; njia pekee walobaki nayo ni kuingia barabarani... Hakuna risasi zitatua sote...!!!
Uhitaji wa tume huru ya uchaguzi ni wa watanzania wote, na jukumu la kuingia barabarani kudai tume huru ya uchaguzi ni wa watanzania wote.

Unapowashauri waingie barabarani halafu wewe unajitenga maana yake haukerwi na haya yanayoendelea na unataka upiganiwe haki zako za msingi na wengine wakati wewe umejifungia chumbani na mkeo.

Mpaka hapa huna hata moral authority ya kushauri watu waingie barabarani au kudai tume huru ya uchaguzi.
 
Huu mwaka haupita bila nchi hii kuandika historia kama tulivyoona katika mataifa mengine.

Na yule aliejiapiza kuona upinzani unakufa na ambae anajifanya yeye ni mtu wa Mungu, ajue tu yeye ndio atabeba lawama zote.
Huwezi kumlaumu maana hajitambui
 
Ishu ni kwamba ccm ni ovyo ovyo ovyo lakini upinzani pia ni sikio la kufa...!!! Wanakatisha tamaa wananchi...!!
Kama ccm ni hovyo hovyo na wananchi hamionyeshi kukerwa na huo uhovyo hovyo wa ccm walau mkachukua hatua wapinzani watafanyaje ?

Kwanza wapinzani kwa wanayoyafanya wanajitahidi sana unafikiri wamekwepa mitego ya kuuawa mara ngapi ?

Vyombo vya usalama vinaposhiriki kuteka wagombea wa upinzani wasirudishe form na wananchi tuko kimya tunataka wafanye kipi zaidi ndiyo tujue kuna haki zetu wanazipigania ?
 
Uhitaji wa tume huru ya uchaguzi ni wa watanzania wote, na jukumu la kuingia barabarani kudai tume huru ya uchaguzi ni wa watanzania wote.

Unapowashauri waingie barabarani halafu wewe unajitenga maana yake haukerwi na haya yanayoendelea na unataka upiganiwe haki zako za msingi na wengine wakati wewe umejifungia chumbani na mkeo.

Mpaka hapa huna hata moral authority ya kushauri watu waingie barabarani au kudai tume huru ya uchaguzi.

Subiri utaona... Imani kidogo mliyopewa ikiisha wananchi wenyewe wataingia barabarani...
Mnaaminiwa halafu mnacheza ngoma za CCM... Shame on you...x4
 
Back
Top Bottom