- Thread starter
- #41
at least umeelewa kwamba hoja yangu haikua zitto anafaa au la, huyo mpumbavu anaitwa never, will never be a good chadema follower kwani hata utashi wala upeo.. Ni mjinga!!
yaani wewe ndiyo pumba kabisa
at least umeelewa kwamba hoja yangu haikua zitto anafaa au la, huyo mpumbavu anaitwa never, will never be a good chadema follower kwani hata utashi wala upeo.. Ni mjinga!!
Hizi sio tetesi, ni umbea tu, ni wa kupuuzwa kama ch....o
huo ni wongo mkubw na kama ni kwl bs cdm kuna ukanda na ukabila
Bora iwe hivyo ili quorum itimie, the typical Chama cha Ukanda kutimia... Mwenyekiti - Mbowe ( Mchaga), Katibu Mkuu- Slaa ( huko huko) sasa Naibu Katibu Mkuu ( Lema- MCHAGA na wa huku huko).
Keep it up CDM.
kama wako busy ndiyo ukweli usisemwe? ukweli ndiyo huwo LEMA anafaa kuwa NAIBU KATIBU MKUUUmezipata wapi hizo tetesi? Uchaguzi ni lini? Nani wagombea wengine??? Kama huna majibu tofautisha tetesi na mawazo yako binafsi. Acha watu wafanye kazi ya kujenga chama sio kila wakati wa majungu, uchokonozi na uzabizabina. Lema na Zito wako busy bungeni wanawatetea wapiga kura wao na wananchi kwa sasa.
huu ni udaku kama chanzo ni wewe mwenyewe sasa unamuuliza nani?
haulizwi mtu hapa, ni mimi mwenyewe nimepata habari nikaamua nizirushe, sikupenda kumnukuu mtu
lema na Zitto same age same tabia wote wanaganga njaa labda utafute variety nyingine
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?
we mwenyewe umeipenda ndiyo maana umetia neno, kwani nani asiye kujua kuwa wewe ni mfuasi wa ZITTO?Tafuteni mada zilizotulia kwa lengo la kupost na kuchangia. Mi nimeshindwa kuchangia upuuzi huo.