Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

at least umeelewa kwamba hoja yangu haikua zitto anafaa au la, huyo mpumbavu anaitwa never, will never be a good chadema follower kwani hata utashi wala upeo.. Ni mjinga!!

yaani wewe ndiyo pumba kabisa
 
huo ni wongo mkubw na kama ni kwl bs cdm kuna ukanda na ukabila

hayo umenena wewe hatuangalii ukanda wala ukabila tunaangalia uwajibikaji wa mtu, hata wakitoka wote kaskazini sawa ilimradi wawe wawajibikaji, na hizo ndizo propaganda za CCM, hawana lolote, ZITTO lazima aondoke chadema ni msaliti sana
 
Bora iwe hivyo ili quorum itimie, the typical Chama cha Ukanda kutimia... Mwenyekiti - Mbowe ( Mchaga), Katibu Mkuu- Slaa ( huko huko) sasa Naibu Katibu Mkuu ( Lema- MCHAGA na wa huku huko).

Keep it up CDM.


Hivi huko huko na huku huko ndio makabila gani hayo?
 
Umezipata wapi hizo tetesi? Uchaguzi ni lini? Nani wagombea wengine??? Kama huna majibu tofautisha tetesi na mawazo yako binafsi. Acha watu wafanye kazi ya kujenga chama sio kila wakati wa majungu, uchokonozi na uzabizabina. Lema na Zito wako busy bungeni wanawatetea wapiga kura wao na wananchi kwa sasa.
kama wako busy ndiyo ukweli usisemwe? ukweli ndiyo huwo LEMA anafaa kuwa NAIBU KATIBU MKUU
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?
Chanzo ni mimi mwenyewe
 
huu ni udaku kama chanzo ni wewe mwenyewe sasa unamuuliza nani?
 
haulizwi mtu hapa, ni mimi mwenyewe nimepata habari nikaamua nizirushe, sikupenda kumnukuu mtu

nadhani hii thread imeshapelekwa kwenye UDAKU! Sasa sijui unamaanisha nini kuileta tena huku
 
aliye ipeleka kwenye udaku ni mwenda wazimu kama wanaoiponda na huwa wanamtukuza ZITTO kama mungu wao, aibu tupu
 
lema na Zitto same age same tabia wote wanaganga njaa labda utafute variety nyingine

anaye ganga njaa ni ZITTO siyo LEMA ambaye alizaliwa hela akaikuta kwao, so anachokifanya saa hivi ni kuwatetea walalahoi, ZITTO Yeye amekuwa mtetezi wa mafisadi
 
Kwani kazi ya naibu katibu mkuu ni kuongeongea? kama muda wake umekwisha basi watafanya uteuzi mpya si kwakuwa haongei!
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

Haya ni mambo ya mamluki toka Umoja wa wanawake Tanzania kuanza kuvuruga chama. Kaeni kando na watu wanatumiwa na ciciem. Wamejaribu kumvuruga Zito wanaona Viongozi wa Chadema wametulia tu sasa wanakuja na uchokozi mwingine.
Huu ni ukoma wa kuukwepa kabisa wanamapinduzi wenzangu.
 
Naona hii thread imekaa kimbea zaidi na ya uchonganishi isiyosaidia CDM. Lets ignore it
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

The right person could be Hon. Mnyika. He has been doing so during general election campain period and has proved his capability. On the other hand if Hon. Lema appointed to that position, it will have a big negative impact to the party since party Chairman, Secretary General, Deputy Secretary General, Director of Finance, and John Mrema will all be residing from Northern party of Tanzania.
 
Heshima kwako Never,

Mkuu karibu jamvini.

Godbless Lema hawezi kumudu nafasi ya naibu katibu mkuu kwa chama makini,tena kinachotaka kuiondoa CCM madarakani.Pengine Lema unamsikia kwenye vyombo vya habari hujui uwezo wake,ukiondoa mazingira ya [purukushani/ugomvi] patashika nguo kuchanika utabaini bila shaka yoyote hana uwezo unaofikiri anao.

Zitto Kabwe kweli amepwaya sana kwa nafasi ya naibu katibu mkuu lakini bado anamwacha mbali sana mheshimiwa Lema dosari pekee ya mheshimiwa Zitto ni kutokueleweka misamamo yake.Hapendi kukisaidia chama chake hasa baada ya kubambikizwa udini alikuwa na nafasi nzuri na kubwa kupangua hoja za udini lakini kwa mshangao wa wengi hajaonyesha kuumizwa na kuchukua hatua za makusudi kuzika propaganda za CCM.Ni wakati muafaka Zitto akubali kuachia nafasi ya naibu katibu mkuu ili chama chake kimtafute mtu mwingine wa kumsaidia Dr Slaa.Ningekuwa na uwezo wa kupendekeza jina mtu anayeweza kukisaodia chama mara moja ningemchagua Prof Abdallah Safari.

Zipo faida nyingi sana iwapo CHADEMA ingempatia Prof A Safari wadhifa wa Naibu katibu mkuu.

[1] Ni mwanachama kutoka kanda nyingine,si kanda ya kaskazini anakotoka Mwenyekiti na Katibu mkuu

[2] Ni muislam tuhuma za udini kwamba CHADEMA ni chama cha wakristo hazitakuwa na nafasi.Kumuondoa Zitto muislam na kumuingiza Prof A Safari muislamu mwingine kutaondoa uwezekano wa Zitto kutumika.
 
Back
Top Bottom