Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Umezipata wapi hizo tetesi? Uchaguzi ni lini? Nani wagombea wengine??? Kama huna majibu tofautisha tetesi na mawazo yako binafsi. Acha watu wafanye kazi ya kujenga chama sio kila wakati wa majungu, uchokonozi na uzabizabina. Lema na Zito wako busy bungeni wanawatetea wapiga kura wao na wananchi kwa sasa.
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

Hizi sio tetesi, ni umbea tu, ni wa kupuuzwa kama ch....o
 
kama lipo litakuja tu ...hofu na midaharo kwa sasa haitatusaidia wana CDM,kw sasa tuko busy na bunge la katiba!
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

Never kama jina lako,bora apewe silinde kuondoa thana ya kikanda au wenje
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?

Bora iwe hivyo ili quorum itimie, the typical Chama cha Ukanda kutimia... Mwenyekiti - Mbowe ( Mchaga), Katibu Mkuu- Slaa ( huko huko) sasa Naibu Katibu Mkuu ( Lema- MCHAGA na wa huku huko).

Keep it up CDM.
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh LEMA huenda akawa NAIBU katibu mkuu wa chama hicho. nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda LEMA, wadau mnasemaje kuhusu hili?
hivi huwa mnakosaga story za kuandika? maana kila kukicha mnataka kuona CDM wanafarakana, kwa taarifa yenu CDM ni watu makini wenye uelewa wakutosha, lema na zitto hawapo chadema kwaajili ya kugombea vyeo, wapo kwaajili ya kuwatumikia wananchi na wataendelea kuwatumikia wananchi. hawana time na majungu hayo mnayo yaleta humu.
 
Acha uchonganishi wewe....hizo habari labda kama umezipata kwa MAKAMBA au kwa TAMBWE HIZA au CHILIGATI kwakuwa hao ndio huwa na taarifa za kitahila kama hizo....:rip:CCM.
 
Of course mimi sioni kama kunatatizo LEMA akIfanya majukumu ya Zitto Kwani chadema wote ni makamanda sother this topic is invalid some times you should think before starting the topic because some of issues are boring we are busy for clitical issues for what is going on in our country but other people come with simple issues watch out
 
Tatizo liko wapi? Hiyo ni kumchonganisha zitto na Lema. Mshindwe na muanguke kabisaaaaaaa! CHADEMA haidanganyiki.
 
kunatetesi zinazoenelea kuzagaaa huku mitaani yakuwa mh lema huenda akawa naibu katibu mkuu wa chama hicho. Nahili linatokana na mh zitto kushindwa kufanya kazi za chama kwa muda mrefu sasa na kukaa kimya na badala yake kazi hizo zimeonekana kufanywa na kamanda lema, wadau mnasemaje kuhusu hili?
hana qualitites hizo... Chadema ni chama makini kama kilivyo ccm
 
jamani mnafanya nashindwa kutofautisha watu makini na wambeya, msijibizane nao jamani. CDM haidanganyiki
 
sasa mnachobisha nininiiiiii? mimi kusema ukweli? ninayo yanena humu niukweli mtupu zitto amekitupa chama muda mrefu,, acheni LEMA apewe hiyo nafasi chama kisonge mbele kama matarajio yetu sote, LEMA anaweza jamani
 
hana qualitites hizo... Chadema ni chama makini kama kilivyo ccm

wewe ndiyo kihiyo mazima, yaani unataka umfananishe kamanda LEMA na ZITTO mtaka fursa toka kwa mafisadi? LEMA anakila sifa yakuwa NAIBU KATIBU MKUU wa chama hicho makini
 
Back
Top Bottom