Mkuu nakuunga mkono 100%ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.
Ahsante mkuu kwa mawazo mazuri ulonayo mtaalam..Ccm ni shetani la Tanzania na sisi ndo kiti chenyewe hovyo tunahitaji mkombozi maalum atutoe kwenye uongozi huu wa msomali kinana na genge la majambazi linalotukandamiza kwa kuchaa za ufisadiMUNGU mwenye mamlaka juu ya yote na nina Imani ya kwamba wakati wa mabadiliko ni sasa!
CHAKAZA ccm mpaka kieleweke!
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.
mkuu kamanda bananga yupo wapi..?
Mbona baada ya chaguzi za udiwani sijamsikia..?
Nae angefaa sana kwenye hicho kikosi
Kumbe CDM mnataka kumuonyesha Wassira tu mie nilidhani mnafanya hizo ziara kwa ajili ya kuitanganza CDM.
Kamanda Bananga anachana vibaya huko Arusha na Manyara.
I wish ingekuwa hivyo lakini "ile" "mikurya" na "mijita" (ashakum si matusi) ilivyo na mfumo dume kunahitajika nguvu za ziada kuibadili mawazo. Mtu anaweza kukataliwa kisa ni mwanamke; zinahitajika strategies kali kuishawishi.