Godbless Lema kumchakaza Wassira kwa Helicopter

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Kamanda Godbless Lema ataanza operesheni maalum ya 'Chakaza CCM' katika jimbo la Bunda.

Lema ataongoza operesheni hiyo kwa muda wa siku 6 ambapo atatumia usafiri wa helikopta huku makamanda wengine wakitumia magari.

Lema na ujumbe wake watapita kila kitongoji wakihutubia mikutano ya hadhara,kufungua mashina,kuzindua ofisi za chama na pia kusimika viongozi sehemu ambazo hazina.

Lengo kubwa la ziara hiyo ni kuhakikisha Bunda inakuwa ngome kuu ya CHADEMA na kumuonyesha Wassira CHADEMA kinaungwa mkono na maelfu ya watu jimboni kwake.

Lema atafuatana na mbunge wa Arumeru Joshua Nassari,kamanda wa chama hicho Alphonce Mawazo na baadhi ya maafisa.

Source:Tanzania Daima.
 
Safiii safi sanaaaa
Twanga kotekote hao magamba mpaka wakimbie.

Viva CHADEMA
 
MUNGU mwenye mamlaka juu ya yote na nina Imani ya kwamba wakati wa mabadiliko ni sasa!

CHAKAZA ccm mpaka kieleweke!
 
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.
Mkuu nakuunga mkono 100%
Kuna haja ya kuwepo mwanamke kwenye msafara huo.
Yule dada anafaa sana kuliko kungojea mpaka 2015 makapi ya magamba(Oil chafu eg. Bulaya) yaje yagombee.
 
Jembe jembe jembe,wanamuogopa sana kwani amekubali kufa kwa ajiri ya wengine.lema akifa sitokua na sababu ya kuishi tena ntaenda
 
MUNGU mwenye mamlaka juu ya yote na nina Imani ya kwamba wakati wa mabadiliko ni sasa!

CHAKAZA ccm mpaka kieleweke!
Ahsante mkuu kwa mawazo mazuri ulonayo mtaalam..Ccm ni shetani la Tanzania na sisi ndo kiti chenyewe hovyo tunahitaji mkombozi maalum atutoe kwenye uongozi huu wa msomali kinana na genge la majambazi linalotukandamiza kwa kuchaa za ufisadi
 
mkuu kamanda bananga yupo wapi..?
Mbona baada ya chaguzi za udiwani sijamsikia..?
Nae angefaa sana kwenye hicho kikosi
 
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.

Naamini viongozi wa Chadema wamekusoma.
 
Kumbe CDM mnataka kumuonyesha Wassira tu mie nilidhani mnafanya hizo ziara kwa ajili ya kuitanganza CDM.
 
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.

I wish ingekuwa hivyo lakini "ile" "mikurya" na "mijita" (ashakum si matusi) ilivyo na mfumo dume kunahitajika nguvu za ziada kuibadili mawazo. Mtu anaweza kukataliwa kisa ni mwanamke; zinahitajika strategies kali kuishawishi.
 
Mkuu dudus, hilo nalo neno!
 
Naona Lema yuko addicted na chopa,hivi hiyo chopa ndio ile aliyopiga nayo picha katika ziara yake ya UK kumtembelea mayor au ndio michango ya M4C? Ukombozi bila chopa unawezekana..
 
I wish ingekuwa hivyo lakini "ile" "mikurya" na "mijita" (ashakum si matusi) ilivyo na mfumo dume kunahitajika nguvu za ziada kuibadili mawazo. Mtu anaweza kukataliwa kisa ni mwanamke; zinahitajika strategies kali kuishawishi.

Copy to Mwita Maranya,
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom