Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Kamanda Godbless Lema ataanza operesheni maalum ya 'Chakaza CCM' katika jimbo la Bunda.
Lema ataongoza operesheni hiyo kwa muda wa siku 6 ambapo atatumia usafiri wa helikopta huku makamanda wengine wakitumia magari.
Lema na ujumbe wake watapita kila kitongoji wakihutubia mikutano ya hadhara,kufungua mashina,kuzindua ofisi za chama na pia kusimika viongozi sehemu ambazo hazina.
Lengo kubwa la ziara hiyo ni kuhakikisha Bunda inakuwa ngome kuu ya CHADEMA na kumuonyesha Wassira CHADEMA kinaungwa mkono na maelfu ya watu jimboni kwake.
Lema atafuatana na mbunge wa Arumeru Joshua Nassari,kamanda wa chama hicho Alphonce Mawazo na baadhi ya maafisa.
Source:Tanzania Daima.