Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Yohana 11 (Biblia Takatifu)Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Kwa hiyo Lema upanga wa kufa hautamhusu?Mungu adhihakiwi. Mh Lema ni miongoni mwa watu wachache wenye maono. Kawaonya wahusika kwa matendo yao yasiyompendeza Mungu. Wameshupaza shingo zao. Upanga wa Mungu umekuja ukapota nao.
Wako watu waliotekwa na kupotezwa, wahusika wamefurahia matendo ya ushindi wao wa kuwapoteza binadamu wenzao. Wasimamizi wa Mihimili wameonywa lkn wameshupaza shingo zao. Acha Mungu aitwe Mungu.
Na Mussa alikufa kwa adhabu ya nani?We unayesema kifo hakijawahi kuwa adhabu umesoma wapi hayo maneno? Unajua hatma ya Kora na wenzake walipomsakama Nabii Musa kwenye Biblia? Mwenyezi Mungu aliwapa adhabu gani? Kawadanganye wasiosoma Biblia.
Kwa hiyo Lema hatakufa na kufukiwa chini?Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁵ Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
²⁶ naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Anayaishi haya
Nenda nae ukampikie huko Canada. Una Wivu kama wa mke mdogo na mke mkubwa.Lemma kavuta hela kakimbia nazo Canada. Mchaga huyu hovyo sana
Labda yeye hawezi kufa😁Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Nafirikiri hujawahi kumuelewa Lema, anachofanya ni kuonya tuishi maisha ya upendo bila kunyanyasa wengine kwa kutumia vyeo... kamsome tenaSiku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
na wewe unamuamini? KIFO NI KIFO! kumtabiria mtu kifo nao ni utabiri? 😁Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Haya tuambie Ndugai alitengeneza kikombe Au bakuli?Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Ni sawa na kutabiri kesho jua litachomoza alafu unajiita nabii.Lema ni nabii na ana upako wa kuona yajayo.
God bless Lema tuendelee kupata tabiri mbalimbali