Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Mkuu haya ni mabaki ya chadema, nilikuwa nasafisha ofisi leo nikaukuta huu uchafu.
Nimechoma moto nitakuletea picha hapa zikiungua kwa sababu zinasababisha uchafuzi wa mzingira
MaCCM watakulaani ukichoma hii kitu wao wavitafuta ili waitishe mikutano na vyombo vya Habari wafanyie (SHOW)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…