Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,616
- 164,654
Duh hawa jamaa sijui wanaipeleka wapi nchi yetu ni siasa za bangi namna hii.
[/QUOTE]we ... serukamba you.1606]Kanuni ya Bunge 65.(1)(c) inasema hivi:
{Isipokuwa tu kwa idhini ya Spika, Mbunge yeyote hataruhusiwa kusema zaidi ya mara moja juu ya hoja, ila tu kama anasema kuhusu utaratibu}
Nimemsikia Mbunge lema kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu akisema kuwa kesho anarudi bungeni licha ya amri ya naibu spika kuwazuia kuingia bungeni.
Mbunge Lema alikuwa akihojiwa na ITV sambamba na wabunge wengine waliosimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge.Mmoja wao alikuwa mh.Tundu Lissu aliesema hakuna kanuni ya bunge inayoweka ukomo wa mtu kuomba utaratibu na kwamba maamuzi ya naibu spika hayakuwa sahihi.Wengi wao waliohojiwa wamelaumu uamuzi huo.
Binafsi nashindwa kuamini nilichokisika labda kama nimesikia vibaya maana najiuliza kama hizo kanuni za bunge zitamruhusu kweli kurudi bungeni?
Kwakweli wabunge wa CHADEMA wananyanyaswa sana na kiti cha spika!
Makamanda vumilieni kwani msitarajie ushindi rahisi bila watu kupita katika kipindi kigumu.
Sifa binafsi wamachinga arusha shida kibao amekalia mwongozo wa spika

Kwani ndiy mwenye serikali? Mbona Bagamoyo na pale Msoga machinga ndio wameliwa na funza kabisa licha ya shida walizo nazo, unashangaa wa Arusha? Its a universal problem kwa serikali hii ya MAGAMBA. Wewe vipi?
ukivuta bang hata maramoja ni tatizo sasa hawa wameifanya bang kuwa ni chakula chao