Siwaelewi watanzania wenzangu'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Ameshindwa kiswahili kwa maana kwake Ni lugha ngumu mkuu... hata umfuhundishe hawaezi kujuaMkuu, kwa nini kiswahili kinakusumbua hivyo?Utaweza kuongea lugha ya Hotetonts kweli?
Hii nchi sasa kama haina Rais, nchi kama inaendeshwa na magenge magenge.. R.I.P JPM... Tutakukumbuka kwa mema, ungekuwepo nchi isingefikia hapa tulipoDah hakika Lema ni kiumbe siyo binaadam. Huyu si ndiye yule aliyeleta msemo wa Mama anaupiga mwingi??????? Atulie kabisa asituchanganye. Sisi watanzania tunasema Rais wa sasa ni Samia na tunampenda mno
...na kubambikiziwa kesi za uongo 😁Amemis kutekwa
Kwakweri! Bhebhee naang'oo!Hameshindwa kiswahiri kwa mahana kwake Ni rugha nguhumu mkuu..hata umfuhundishe hawahezi kujua
Hadi umri huo humjui binadamu na mambo yake?Siwaelewi watanzania wenzangu
KUna siku niliona baiskeli ya mkodishaji mmoja imeandikwa "...kila asubuhi mpya heri ya jana, siku kdhaa baadaye nikaona nyingine ya mkodishaji huyohuyo imeandikwa "...every new morning is better than yesterday" nilihisi alilenga kutafsiri ile statement ya kiswahili iliyopo kwenye baiskeli nyingine
- Wakati wa wakoloni walisema bora utawala wa Machifu
- Wakati wa Mwl. J. K. Nyerere wakasema bora ukoloni
- Wakati wa Mzee Mwinyi walisema bora Mwl. J. K. Nyerere
- Wakati wa Mzee Mkapa walimsifu sana Mzee Mwinyi
- Wakati wa Kikwete walimsifu sana Mzee Mkapa
- Wakati wa Magufuli walimponda na kumkumbuka Kikwete
- Kaja Samia sasa wanamkumbuka Magufuli
Elimu yao.Kwa lipi na lipi mfanano wao?
Huoni kwamba msukuma yupo juu?Ni "dokita"(tamka kwa kisukuma) yule bwana Kasheku!Elimu yao.
Mtu akihemkwa tu anakuwa mpumbavu?Wanasiasa wa upinzani ni wapumbavu sana.. hasa huyo Lema anaendeshwa na mihemko
Wee! Li-nchi lote lile??Kuna mstaafu anamiliki nchi eti
Ameshachanganyikiwa huyo Kama alitegemea mtelezo Basi ndio haupo sasa'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.