Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa
Anayefahamu huhusu hili atueleze
Anayefahamu huhusu hili atueleze
PropagandaNimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa
Anayefahamu huhusu hili atueleze
FB kuna uongo mwingi sanafake news toka kwa chawa
Tena kuna kundi kubwa la CCM chawaFB kuna uongo mwingi sana
ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE.Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa
Anayefahamu huhusu hili atueleze
Kustaafu siasa ni sawa na kuwa mfu. Binadamu yoyote aliye hai ni mwanasiasa.Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa
Anayefahamu huhusu hili atueleze
Lema akitaka kustaafu siasa anaenda kuweka tangazo Facebook?ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE.
nAMLAUMU mBOWE KIUTELEKEA CHADEMA. sAWA lISU ALIMKASHIFU SANA, LAKINI FOR THE SAKE OF CHADEMA, ARUDI AFE NAYO
kama za mama yakoLema akitaka kjstaafu siasa anaenda kuweka tangazo Facebook?
Huwa nakuonaga kwenye mijadala mikubwa, lakini napata shaka ya nafsi huenda una akili kiduchu.
Hapa JF siku hizi tuna Jamii check, wala usipate taharuki utaonna ile stamp yao FAKE.Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa
Anayefahamu huhusu hili atueleze
ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE.
NAMLAUMU MBOWE KIUTELEKEA CHADEMA. SAWA LISU ALIMKASHIFU SANA, LAKINI FOR THE SAKE OF CHADEMA, ARUDI AFE NAYO
Nyumbufake news toka kwa chawa