Godbless Lema astaafu siasa

Godbless Lema astaafu siasa

ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE.
NAMLAUMU MBOWE KIUTELEKEA CHADEMA. SAWA LISU ALIMKASHIFU SANA, LAKINI FOR THE SAKE OF CHADEMA, ARUDI AFE NAYO

Una mpa Mbowe ukubwa asio stahili. Abaki huko CHAUMMA haitajiki CHADEMA. Alishapigwa Chini na Lissu that's all.
 
Facebook ni worst media outlet for speculation and fake news wacha Kutegemea habari za Facebook Wala Opera news
 
Pensheni yake atapata kwa kushuhudia na kufaidi unono maendeleo yanayoletwa na CCM
 
Back
Top Bottom