Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,650
- 272,468
Soma hapa uone unafiki usioeleweka wa Zitto kabwe
HakikaZitto na Lucas hawatofautiani sana
Ni tajiri tuHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Zito MPE Hela hata make wake atakuwa....he is not serious at allHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Wewe unayefikiri wenzako ni wanafiki ndio MNAFIKI NAMBA MOJA. Na kuhakikishia kwa wanafiki kama ninyi uongozi wa nchi hii mtaishia kuupata kwenye mitandao tu. Zaidi zaidi mtaenda walipo wengine ili muendeleze unafiki wenu huko ila sio Tanzania! Tanzania MUST STAND WITH FOCUSED PEOPLE but not with hypocrite like you!!!
Aliyekudanganya kwamba unaweza kutunyamazisha kakuchuuza kibwege sana! Tafuta kazi ccm imefika mwishoWewe unayefikiri wenzako ni wanafiki ndio MNAFIKI NAMBA MOJA. Na kuhakikishia kwa wanafiki kama ninyi uongozi wa nchi hii mtaishia kuupata kwenye mitandao tu. Zaidi zaidi mtaenda walipo wengine ili muendeleze unafiki wenu huko ila sio Tanzania! Tanzania MUST STAND WITH FOCUSED PEOPLE but not with hypocrite like you!!!
Mchaga kumbuka Lyatonga na Joka la Mekengeza aikaeli😂Hivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Usaliti wa Zitto wasisingiziwe Wazanzibar, Huyu ni mshirika wa JK wa miaka mingi sanaWazanzibar wanampelekesha.
ACT walifanya kosa sana kumpa Osman Uwenyekiti. Kama Zanzibar walishapita No Election no Reform wao waendelee na uchahuxibhuko kwao wawachie ACT Wazalendo bara.
Hili swala la kulinda kura haiwezekani. Unless wanataka kusababisha vurugu siku ya uchaguzi. Hakuna mCCM atakayekubali kusacrifize nafasi yake unless huo mgao utokee huko juu kwa Maza.
Zitto ndo nimesikia katangaza vita vya maji maji phase II ...
Migebuka na Ugali wa mihogoZitto ndo nimesikia katangaza vita vya maji maji phase Ii...
Kanafiki sana aka kaha.
Zitto ndo nimesikia katangaza vita vya maji maji phase Ii...
Kanafiki sana aka kaha.
Kabouru alifia CCM,alikokua padre slaaHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Usiingize watu wote wa kigoma kwa kosa la MTU mmojaHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.