Angekuwa ccm kapata hili janga upande wa pili wengi wangemdhihaki. Lakin wana ccm huweka itikad pemben na kujumuika pamoja, huo ni ukomavu ambao upande uleee inabid ujifunze
Ushauri wangu kwa wabunge wa CHADEMA, hasa hawa vijana,
- Ajirini madereva waliosomea kazi hiyo acheni kuokoteza wahuni huko mtaani na kuwafanya ndio madereva wenu.
Wengi wao ni walevi wa pombe na bangi.
Tumeshuhudia SUGU ameshapata ajali zaidi ya nne toka awe Mbunge, ya mwisho ilikuwa ni pale Kitonga. Pia tusisahau tulishampoteza Kamanda Regia(R.I.P) kwenye ajali pale RUVU.
Wabunge huwa wanalipwa fedha kwa ajili ya dereva, ajirini!!