Godbless Lema ana ulinzi wa aina gani?

Nakudokeza tu, Ile siku na saa wanamdhuru amini kabisa serikali itasimama kwa muda.
Na kama yatamkuta Dar, wewe uende Ubungo within three to four hours za taarifa kutoka ujionee na kujihesabia hizo ZX, XLR, Hardtops etc zitavyoingia mjini.

Na wanajua hilo ndio maana hawathubutu kumgusa Kamanda Lema a.k.a Mandela
 
Amekunywa damu ya uzalendo, na mungu anampigania asee! Viva Lema!
 
Nakudokeza tu, Ile siku na saa wanamdhuru amini kabisa serikali itasimama kwa muda.
Na kama yatamkuta Dar, wewe uende Ubungo within three to four hours za taarifa kutoka ujionee na kujihesabia hizo ZX, XLR, Hardtops etc zitavyoingia mjini.

Na wanajua hilo ndio maana hawathubutu kumgusa Kamanda Lema a.k.a Mandela

Hii nimeipenda
 
Bwana asipo ulinda mji,wakeshao wanakesha bure,na kwakuwa Lema analijua hilo,amekabili huyo mzee wa siku amlinde mwenye
 
Sisi tuna Mungu, wao wana fedha.
Lema kwenye mikutano yake amekuwa akieleza hadi njia ya kufika nyumbani kwa wale wenye nia ya kumdhuru...lakini yuko salama salimini. Mtu atakayekuwa na ndoto za kumuua Lema hajazaliwa bado.

Lema mtu mdogo sana kwenye hii nchi wala haitaji ulinzi wowote hata wa masai..boss wake Mbowe mwenyewe ana bodyguady mmoja yule mwenye kitambi.
 
Nasikia Jk amesema Ulimboka ni mtu mdogo sana hawezi kumtembelea hosp, kumbe Dr. Uli kakataa Jk asikanyage pale kumwangalia!
 
Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu kiumbe analindwaje? Au kuna siku naye tutamsikia ametekwa na baadaye kuokotwa mabwe pande au ni hisia zangu tu?
usisahau, sisi tuna Mungu wao wana msitu wa mabwe pande na pesa za kukodi ma baunsa
 
lema tulikuwa nae jana tu hapa ubungo kasema kuwa kikwete akijaribu kuingilia hukumu yake katika rufaa basi atakufa, maana jaji aliyehukumu kesi yake tayar amekipata, miguu kwisha kazi, amesema kuwa mungu anajibu maombi
 
Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu kiumbe analindwaje? Au kuna siku naye tutamsikia ametekwa na baadaye kuokotwa mabwe pande au ni hisia zangu tu?

Watz ni waoga tunaongea sana lkn hakuna actions na viongozi wetu wanajua hilo. Huyu doctor hakua wa kwanza kusulubishwa na hatakua wa mwisho
 
lema tulikuwa nae jana tu hapa ubungo kasema kuwa kikwete akijaribu kuingilia hukumu yake katika rufaa basi atakufa, maana jaji aliyehukumu kesi yake tayar amekipata, miguu kwisha kazi, amesema kuwa mungu anajibu maombi

mlikutana wote machizi,tena kwa taarifa yako iyo rufaa alyokata ndo inammaliza zaidi kisiasa.
 
Lema mtu mdogo sana kwenye hii nchi wala haitaji ulinzi wowote hata wa masai..boss wake Mbowe mwenyewe ana bodyguady mmoja yule mwenye kitambi.

Mimi nashangaa washabiki wa CDM wanapenda sana kukuza vitu sasa Lema ninani mpaka awindwe?ana madhara gani na nchi hii'mwache apige vuvuzela mwisho atakaa chini tu
 
Nasikia Jk amesema Ulimboka ni mtu mdogo sana hawezi kumtembelea hosp, kumbe Dr. Uli kakataa Jk asikanyage pale kumwangalia!

Kumbe unaleta habari za kusikia, hata mie na nasikia Chadema mpaka leo hawakubali matokeo ya urais lakini ya wabunge na madiwani wanayakubali.
 
lema tulikuwa nae jana tu hapa ubungo kasema kuwa kikwete akijaribu kuingilia hukumu yake katika rufaa basi atakufa, maana jaji aliyehukumu kesi yake tayar amekipata, miguu kwisha kazi, amesema kuwa mungu anajibu maombi

Haswaaaaaa!!
 
Mimi nashangaa washabiki wa CDM wanapenda sana kukuza vitu sasa Lema ninani mpaka awindwe?ana madhara gani na nchi hii'mwache apige vuvuzela mwisho atakaa chini tu
Unatamani angekuwa ndo wewe eh??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Watz ni waoga tunaongea sana lkn hakuna actions na viongozi wetu wanajua hilo. Huyu doctor hakua wa kwanza kusulubishwa na hatakua wa mwisho

Hata mi' sielewi sijui ........... ni wasaurifu au ndo................. maana loh!:yawn:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom