Godbless Lema ana ulinzi wa aina gani?

Lema ni nani kwenye nchi hii hadi awindwe?
Mtafute Nepi...Sory NAPE . anamtambua Vizuri tu, or Mwana feki wa Mkulima anayo Kumbukumbu Timilifu juu ya huyu Kamanda.. a.k.a JEMBE..
Vimba tu lakini ujue misho wa kuvimba ni KUPASUKA...
 
Ni mama yako

Aaaaah kumbe L ni mtoto wa kike...!
Kama kuwindwa labda awindwe na majambazi wenzake, kama alishawahi kuwadhulumu kipindi anafanya hiyo michezo ya wizi wa magari...Ila kwa serikali ni mtoto mdogo sana hata akilindwa na special force.
 
Back
Top Bottom