Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Eti kuotea unajifariji MATAGA pole Sana ndio yanatokea Sasa Kwani si alitabiri mwendakuzimu asipoacha dhuruma atakufa haya Leo Kiko wapi Kwa mchato na jeuri yake ya umungumtu?
Unaweweseka ewe Mgelasi uliezamia Korintho!

mwendakuzimu amekufa,arejee sasa nyumbani

maana amejipa cheo cha kuhukumu watu vifo wakati nayeye anaogopa kufa!!!!
 
mwendakuzimu amekufa,arejee sasa nyumbani

maana amejipa cheo cha kuhukumu watu vifo wakati nayeye anaogopa kufa!!!!
ushauri wako wa kijuha ambao hata wewe sidhani kama ungeuapply Yaani ufike zako America upate Makazi Bora halafu uwe na fikra za kurudi nchi ya kiwendawazimu kama bongo
Hahahahahaha be serious dude hata ningekua Mimi sithubutu hata!
 
sizungumziii wewe nazungumzia lema,mwenye jukumu la kupambania wananchi katiba mpya na uhuru wao.

hii ndio tofauti yenu na sisi,tunawapima katika uongozi watu wenu,nyinyi mnawapima katika siasa.

kama amepata makazi bora,kinachomfaya 24hrs yuko na mambo ya huku ni kipi!!!
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
EMbu rudia kuisoma hii uliyoiandika wakati ulee.. Halafu fananisha na yanayotokea sasa
 
20220106_174801.jpg

Huyu anatakiwa awe R IP kabisa.Mungu yupo bado
 
Ktk huu uzi kaka yangu Paschal Mayalla amelike sana comment za Watu wengi, Ni Gwajima na Slaa tu sijawaona waki-like😂😂
 
Mungu hafanyi kazi hivyo basi dunia binadamu wote wangeisha maana kila aliwazalo mwanadamu ni uovu
Mungu anaanza na wale Extremes. Alivyoichoma Sodoma na Gomora sio kwamba kwingine walikuwa hawatendi dhambi
 
Back
Top Bottom